Ulizo:

Ulizo:

64-bit

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
298
Reaction score
147
Vipi uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kuna watu wameshapata confirmation? mana naona kama system yao inasumbua
 
Wamesharekebisha nimetuma cheti Leo imekubali.ila Fanya kama una jisajili upya kwa taarifa zilezile za awali
 
mbn natuma tn wananiambia taarifa zako zishatumwa xa inakuwaj
 
Wamesharekebisha nimetuma cheti Leo imekubali.ila Fanya kama una jisajili upya kwa taarifa zilezile za awali
[/QUOT
How long do they take to bring back the confirmation results?
 
Back
Top Bottom