Wawasiliane na bodi watapewa maelekezo dirisha likishafunguliwa,hahahaaa mkuu hujanielewa .Nilimaanisha kuna wengine hawajafika hiyo miaka 35 ingawaje walimaliza muda uliozidi miaka 5 je unaona ni sawa kuwanyima wasiombe kisa kigezo cha muda waliomaliza?
Ndio nmekwambia uwasiliane bodi ya mikopo dirisha likishafunguliwa watakupa maelekezo ya kina au nenda pale Saba Saba ijumaa kwenye Banda lao utajifunza mengi,Tunajadili kwa manufaa ya wengi
Elezea vizuri kwa faida ya wengi,Cha maana walichofanya HESLB ni mfumo mpya wa malipo.
Mwanafunzi ata sign boom na Ada popote alipo ili mradi awe na smartphone tu.
mkuu Ahsante kwa ushiriki wako katika uzi wangu wenye maono ya kusaidia wengiNdio nmekwambia uwasiliane bodi ya mikopo dirisha likishafunguliwa watakupa maelekezo ya kina au nenda pale Saba Saba ijumaa kwenye Banda lao utajifunza mengi,
404: Page Not Found
Sasa ulichosaidia wengi kiko wapi ?mkuu Ahsante kwa ushiriki wako katika uzi wangu wenye maono ya kusaidia wengi
Maoni yako ni yapi umri usogezwe mpaka miaka 60 wawe wanaomba mkopo na hata wale waliomaliza 1961 pia wapewe mikopo ya Chuo au sio ?Haya mawazo tunayojadili hapa ndio yatayoenda kurekebishwa na kufanyiwa kazi kama hauna imani kua unasaidia watu wengine kupitia haya mazungumzo basi
MAONI YANGU NI KWAMBA MUDA WA WAOMBAJI MKOPO USIZINGATIE MIAKA 5 TOKA MUDA WALIPOMALIZA MASOMO KWA KUA SIO WOTE WALIOMALIZA ZAIDI YA HIYO MIAKA WAKO NA UWEZO WA KUJISOMESHA/KUJILIPIA ADA ELIMU NI HITAJI LAMSINGI KAMA INAWEZEKANA WASIWEKEWE VIKWAZOMaoni yako ni yapi umri usogezwe mpaka miaka 60 wawe wanaomba mkopo na hata wale waliomaliza 1961 pia wapewe mikopo ya Chuo au sio ?
404: Page Not Found
Km wasipoweka vikwazo kuna wenye uhitaji wengi watakosa kunufaika,KAMA INAWEZEKANA WASIWEKEWE VIKWAZO
Haiwezani Tayari.MAONI YANGU NI KWAMBA MUDA WA WAOMBAJI MKOPO USIZINGATIE MIAKA 5 TOKA MUDA WALIPOMALIZA MASOMO KWA KUA SIO WOTE WALIOMALIZA ZAIDI YA HIYO MIAKA WAKO NA UWEZO WA KUJISOMESHA/KUJILIPIA ADA ELIMU NI HITAJI LAMSINGI KAMA INAWEZEKANA WASIWEKEWE VIKWAZO
Mkuu vigezo kama hivyo ni muhimu ili kuhakikisha wanaopata haki hiyo ni wale walengwa hasa, Vijana wenye umri wa shule na Wasio na hekaheka za Maisha. Hawa wako Active na Elimu na pia kwa umri wao ni haki yao. Wewe tunasema ulichezea muda.Sawa tusibishane Amini katika unachokiamini mkuu
Aah sawa ila haujaelewa maada hapa sizungumzii kuhusu mimi nazungumzia kuhusu jamii kwani wewe unajuamimi ni nani ? Nafanya nini kwa sasa , Mimi nazungumzia kuhusu hivyo kwakua mimi nilipitia diploma najua nilivyosoma kwa shida mpaka kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu ,hivyo naongelea juu ya watu wa aina kama niliyopitia mimi ,toa mchango wako bakia kimya hapa ni jukwaa la mawazo na sio sehemuya kutoa vijembe kwa watu usiowajuaMkuu vigezo kama hivyo ni muhimu ili kuhakikisha wanaopata haki hiyo ni wale walengwa hasa, Vijana wenye umri wa shule na Wasio na hekaheka za Maisha. Hawa wako Active na Elimu na pia kwa umri wao ni haki yao. Wewe tunasema ulichezea muda.
Shwari mkuu umeelezea vema sanaaa , Ahsante kwa mawazo yenu kwa pamoja tuijenge nchi yetuHiko kigezo kipo standard kabisa wasipokiweka hicho wapo wengi wenye uitaji watakosa kwa mfano ndugu kuna fresher ambao wametoka tu form 6 wakakosa mikopo na wahitaji kwa sababu ya waombaji wengi akarudi mtaani huyu chet chake Cha 6 kitamsaidia Nini Bora ya huyu wa diploma walau ana possibility ya kubahatisha kajob kakamsogeza walau. Nb Tena me naona miaka mitano mingi waangalie uwezekano wa kushusha uwe ata Mmoja fresher waneHemeke awa wa dip walau washaona mwanga
Wewe unatawaliwa na hisia kuanzia hoja zako mpaka reaction zako, Pole.Aah sawa ila haujaelewa maada hapa sizungumzii kuhusu mimi nazungumzia kuhusu jamii kwani wewe unajuamimi ni nani ? Nafanya nini kwa sasa , Mimi nazungumzia kuhusu hivyo kwakua mimi nilipitia diploma najua nilivyosoma kwa shida mpaka kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu ,hivyo naongelea juu ya watu wa aina kama niliyopitia mimi ,toa mchango wako bakia kimya hapa ni jukwaa la mawazo na sio sehemuya kutoa vijembe kwa watu usiowajua