VP kama niko na deni hsbl alfu nina miaka 10 sjapata ajira jobless na hakuna dalili ya kupata job hilo deni ata miminsijui mkuu kwanza tujadili hili la hapo juu ambalo litaenda kua kikwazo kwa baadhi ya Watanzania wenzetu kukosa kusoma Elimu ya juu
Weka pdf la hilo dodoso sio unasema tu namba 6 km wote tumeona na kusomaHicho kipengele namba 6 kwamba lazima awe amehitimu ndani ya miaka mitano ni kuwanyima haki ya kupata, kama mtu hajafika miaka 35 kwanini muweke mipaka ya hiyo miaka 5?
Jamani Bodi ya mkopo wa Elimu ya juu mbona mnaweka vigezo vya kunyanyasa/ kuwakandamiza wanafunzi waliopitia mfumo wa Diploma? Kunufaika na hizo pesa ambazo baadae wanazirudisha.
Hicho kipengele namba 6 kwamba lazima awe amehitimu ndani ya miaka mitano ni kuwanyima haki ya kupata, kama mtu hajafika miaka 35 kwanini muweke mipaka ya hiyo miaka 5?
Ni uwe umehitimu 2019-2023Hicho kipengele namba 6 kwamba lazima awe amehitimu ndani ya miaka mitano ni kuwanyima haki ya kupata,
Km hana uwezo wa kujisomesha na anaona mkopo ni manufaa Ila vigezo vimempiga kofiAchana na mikopo inatesa
Km hana uwezo wa kujisomesha na anaona mkopo ni manufaa Ila vigezo vimempiga kofi
404: Page Not Found
Anazunguka na bodaboda na Bajaj deiwaka we ulitaka afanye nini ?Miaka yote mitano mtaani alikua anafanya nini?
Anazunguka na bodaboda na Bajaj deiwaka we ulitaka afanye nini ?
404: Page Not Found
Hapo awaachie tu wenye vigezo vyao hakuna namnaAjipange tu asake hela akasome,mana vigezo ndio hivyo vimemkaba shingo.
Ingia website yao wameweka maelekezo pdf mpaka ijumaa siku ya Saba Saba,Tuma pdf watu tuchambue
upo sahihi ila nakuambia kwa mtu wa familia ya kati hawezi kusoma bila mkopo nenda kafanye utafiti vyuoni vijana wanaoshindwa kuendelea na masomo chanzo ni kukosa pesa ya Ada , na hatimaye kushindwa kumaliza .Wanaamini ndani ya miaka mi5 utakua umeshajijenga kiuchumi ndio mana umeamua kurudi shule hivyo unao uwezo wa kujisomesha.
Achana na mikopo inatesa
upo sahihi ila nakuambia kwa mtu wa familia ya kati hawezi kusoma bila mkopo nenda kafanye utafiti vyuoni vijana wanaoshindwa kuendelea na masomo chanzo ni kukosa pesa ya Ada , na hatimaye kushindwa kumaliza .Wanaamini ndani ya miaka mi5 utakua umeshajijenga kiuchumi ndio mana umeamua kurudi shule hivyo unao uwezo wa kujisomesha.
Achana na mikopo inatesa
Ndio hivyo sasa wewe vigezo viwili huna unataka wakusaidiaje, mosi umri umevuka 35 pili umeshasoma miaka 5 imepita tayari kwa hio unataka Bodi ikusaidieje hapo vigezo viwili washakuondoa kwenye list nini maoni yako ?upo sahihi ila nakuambia kwa mtu wa familia ya kati hawezi kusoma bila mkopo nenda kafanye utafiti vyuoni vijana wanaoshindwa kuendelea na masomo chanzo ni kukosa pesa ya Ada , na hatimaye kushindwa kumaliza .
hahahaaa mkuu hujanielewa .Nilimaanisha kuna wengine hawajafika hiyo miaka 35 ingawaje walimaliza muda uliozidi miaka 5 je unaona ni sawa kuwanyima wasiombe kisa kigezo cha muda waliomaliza?Ndio hivyo sasa wewe vigezo viwili huna unataka wakusaidiaje, mosi umri umevuka 35 pili umeshasoma miaka 5 imepita tayari kwa hio unataka Bodi ikusaidieje hapo vigezo viwili washakuondoa kwenye list nini maoni yako ?
404: Page Not Found
Tunajadili kwa manufaa ya wengiNdio hivyo sasa wewe vigezo viwili huna unataka wakusaidiaje, mosi umri umevuka 35 pili umeshasoma miaka 5 imepita tayari kwa hio unataka Bodi ikusaidieje hapo vigezo viwili washakuondoa kwenye list nini maoni yako ?
404: Page Not Found