Ulizeni aina za magari ya kununua; mtalia

Ulizeni aina za magari ya kununua; mtalia

Ninacho kimaruti changu nimerithishwa, ni cha mwka 1989. Wese nikiweka full tank nasahau! Tatizo hakana AC
 
Duu mbona nadata kabisaa! ninunue gari gani sasa mbona yotee hayafai?
 
Naomba ushauri kuhusu Nissan Terrano ya 2000, yenye 2950 CC
 
Back
Top Bottom