Uliza swali sahihi kwa mtu sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliza swali sahihi kwa mtu sahihi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Nov 27, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jana nimeshuhudia kipindi kimoja cha TBCone.Mwandishi wa TBC alikuwa akipita mtaani akiwauliza watu kuhusu mafanikio baada ya miaka 50 ya uhuru.Cha ajabu alikuwa anawahoji vijana wengine wenye miaka kati ya 20 na 30.Sasa unatarajia jibu gani la maana kwa mtu aliyezaliwa mwaka 1990 ukimtaka afanye comparison ya maendeleo ya mwaka 1961 na haya tuliyonayo mwaka 2011.Anayeuliza swali ni mjinga na hata kijana wa miaka 20 anayetoa mchanganuo hajui anachoongea.
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  .....inawezekana hata huyo muuliza swali hakuna anachokijua juu ya miaka 50 ya Uhuru; atupaswi kuwashangaa sana wana habari wetu, kwani wengi wanahishi kwa kufuatwa na matukio na siyo wao kufuata matukio.
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwanza ni ngumu sana kuelezea hayo maazimisho ya miaka hamsini. Utaelezea nini? Hata wale waliokuwepo tangu enzi ya uhuru mpaka leo maelezo yao ni sawa na debe tu.
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kama ndiyo Tbc mambo ndy hayo hovyooo! Acha mie niendelee na kupasuliwapasuliwa viji'pimpos vya mgongoni na massage ya mbaali! Shemeji yenu tangu jana nimsanue Jf anajitumaje! Cha-mbegu ctoki ndani.
   
Loading...