anhaa hapo sawa....kipimo cha CT SCAN NA MRI KIKOJEMtaalamu wa kutumia vifaa vya xray,ultrasound,ct scan,mri etc kuchunguza magonjwa ndani ya mwili
CT Scan kinatumia mfumo wa kompyuta pamoja na xrays,utofauti wake na digital xray yenyewe hutengeneza picha katika mfumo wa slices na huweza kutoa mpaka slices 256 kutegemea uwezo wa mashine na kwa ubora zaidi kuliko digital xraysanhaa hapo sawa....kipimo cha CT SCAN NA MRI KIKOJE
Haya ndio matatizo ya vijana wengi wa siku hizi. Akili hakuna kabisa.Soma vizuri swali ikiwezekana jikumbushe kwenye maandiko siyo dhambi binafsi nilitarajia majibu mazito sana kutoka kwako lakini naona kama majibu mepesi sana
Bt naongelea XRF katika environmental samplesBaada ya x-ray, unapoambiwa njoo uchukue majibu baada ya saa 24 ni kwamba technician hajui kutafsiri ile image anamsubiri mtaalam au?. Maana inawezekana vip x-ray itumie masaa 24 wakati readout inatoa majibu muda huohuo?
Ultrasound ni kipimo ambacho tunakiita Controler dependant yani yule anaekufanyia kipimo ndio mtu muhimu zaidi kwenye uchunguzi skills na experience yake vinaeffect kubwa kwenye uchunguziKuna dada alipima mimba kwa vile vipimo vya nyumban na majibu yalionyesha + lakini alipoenda kwa lengo la kupiga ultrasound hakumwambia daktari lengo kama ni kuangalia ukuaji wa mtoto
Cha ajabu kasema kaangaliwa mfumo wa uzazi na kuonekana yupo sawa lakini suala la mtoto huyo Doctor hakuligusia
Je katika upimaji wa mfumo wa uzazi ultrasound haiwez kudetect ukuaji wa mtoto na mama kuambiwa pia kuhusu ukuaji wa mtoto??
Au kuna types tofauti tofauti za ultrasound ambazo mteja anatakiwa kusema na ikiwa atachagua moja basi hyo moja haiwezi kuingilia nyingine??
Nawasilisha
Kuna radiographer na kuna radiologistBaada ya x-ray, unapoambiwa njoo uchukue majibu baada ya saa 24 ni kwamba technician hajui kutafsiri ile image anamsubiri mtaalam au?. Maana inawezekana vip x-ray itumie masaa 24 wakati readout inatoa majibu muda huohuo?
Kuna Radiographer, Raiologist, Radiotherapist...Kuna radiographer na kuna radiologist
Hata kama radiographer anaweza kusoma picha ya xray sheria haimruhusu kutoa report ya kipimo kilichofanyika kasoro kwenye ultrasound
Kuna Radiographer, Raiologist, Radiotherapist...
sorry for late reply....Radiographer ni mtaalamu wa xray na ultrasound,ikiwa radiographer ata specialize kwenye ultrasound ndio anaitwa sonographerSo kwa nilivyoelewaa sanographer ndie ndie mtaalam wa kutumia mitambo na anayepiga hiyo utra sound, then anaandika alichokiona kwenye ultra sound image then Radiologist ndie anaandaa report ambayo inaenda kwa doctor ambae ameomba hiyo report,,, sasa kuna kitu kinanichanganya huyu Radiographer ni nani? na jukumu lake ni lipi kwenye ultra sound?? mkuu hebu naomba nifafanulie au kama kuna kitu nimekosea nifafanulie!!
Mbona alisharijibu hilo swali mkuu rudi nyuma utaona!!radiologist ni nani na anasomea nini kwa miaka mingapi?kama nataka kuwa radiologist inatakiwa nisome nn