Uliza software yeyote hapa

Naomba software ya kuflash simu ya ITEL.
simu imezingua iko fastboot imestuck.
msaada pls.
 
Naomba ACD/CHEMSKETCH
 
Nahitaji software nzuri isiyokuwa na milolongo mingi ambayo naweza ku edit video
 
Mkuu naomba software za kudua maongez na sms za kawaida na za whatsap zote
 
Nahitaji m3u8 links kwa ajili ya rebroadcasting kwenye android TV yangu
 
Nilikuwa natumia vizuri kabisa SNAPTUBE kudownload music, video kutoka twitter, facebook, insta, youtube lakini sasa haifanyikazi tena.
Msaada kama ipo nyingine naweza itumia
 
Mkuu nina shida shida na hii windows data recovery
 
Kama naweza pata msaada jns yakupata product key au zenyewe. Za Endnote X9.2(Bld 13018)

Pia msaada wa spotify mod apk inayosave au downloadng for offline.

Shukran.
 
Habari mkuu
Naomba msaada wako wa Nini nifanye ili niweze kuirudisha kompyuta katika Hali ya kawaida
Nimeiwasha na kuniandikia ujumbe wenye maneno yafuatayo
QPG is compressed press Ctrl+ alt+ del to restart

Nimepress lakini hakuna lolote, imejirudi vilevile
naomba nielekezwe nifanye Nini compyuta irudi kawaida

Aina ya kompyuta ni hp Compaq window
 
Naomba kujua site nitakayo download free book. Nahitaji kitabu kinaitwa AFRICAN TWILIGHT: THE VANISHING RITUALS AND CERWMONIES OF AFRICAN CONTINENT pdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…