Asante mkuu kwa fursa, wakati unaistall windows 7 kwenye computer zenye procesor ya pentium 4 unakuwa umetimiza vigezo vyote kama minmum ram required lakin kuna sms inakuambia "window cannot retrieve the disks information" nimejaribu njia nyingi lakini nimekwama kabisa kuweka window 7. Tupeane maujuzi nifanyeje mkuu.