Mkuu juzi kati niliinstall ubuntu 11.04 lakini kutokana na lappy kupata matatizo ikabidi niiformat upya nikaitoa, soon ninampango wa kuirudisha niliipenda sana sema ilinisumbua kuistall evdo cdma modem yangu ya sasatel.Hebu nipe ushauri ni version gani nzuri kwa beginer ili nianze nayo maana hii 11.04 inaonekana bado ngeni sana kwa wengi