anakua kiongozi wa uma kama vile mkurugenzi,DC,RC,DAS,RAS,afisa wa idara kama utawala,utumishi etc..pia anaweza akawa afisa uhisiano wa kimataifa,balozi wa nchi mbalimbali,officer wa kampuni na kaz nyingine nying sanaa maana ina uwanja mpana katika sekta binafsi na uma..hata kujiajiri pia anaweza,na anaweza akawa mwanasiasa kama alivyo Jokate ambaye kasoma hiyo pale UDMkuu nliulizwa na mdogoangu hiyo kozi huwa baada ya kusoma ndo anakuwa nani?
Asante sana mkuuanakua kiongozi wa uma kama vile mkurugenzi,DC,RC,DAS,RAS,afisa wa idara kama utawala,utumishi etc..pia anaweza akawa afisa uhisiano wa kimataifa,balozi wa nchi mbalimbali,officer wa kampuni na kaz nyingine nying sanaa maana ina uwanja mpana katika sekta binafsi na uma..hata kujiajiri pia anaweza,na anaweza akawa mwanasiasa kama alivyo Jokate ambaye kasoma hiyo pale UD
mziki mnene uo! tulioupitia apo udsm tunaufahamu sana
Kapige Bcom hapo udbs human resources acha uoga..