ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

ULIZA CHOCHOTE KUHUSU MUHIMBILI UNIVERSITY

mwakimonya

Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
11
Reaction score
14
hii ni special thread kwa mtu yoyote anae taka kujua chochote kuhusu chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili
karibuni
 
Vipi kuhusu accommodation hostel zake zipo maeneo gani. Bei ikoje na mazingira
 
Kwanini MD wanajiona wao ni superior wakati tukija mtaani tunawazidi hela?
hii ni special thread kwa mtu yoyote anae taka kujua chochote kuhusu chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili
karibuni
 
Vipi kuhusu accommodation hostel zake zipo maeneo gani. Bei ikoje na mazingira
kuna hostel za aina mbili
main campus
na chole campus
main campus kwa mwaka 140,000
chole campus 120,000
main campus upangwa mwaka 4 na wa 5
chole campus ni kwaajili ya mwaka wa 1 na viongozi na foreigners
 
Mkuu
, Kuna mdogo wangu aliomba muhimbili hapo diploma course ya afya
Jana asubuh katumiwa text inayomtaka atume majina kamili na form 4 index number,

Hili jambo una idea nalo mkuu?

Nikitaka kupata uhakika wa hili jambo nafanyaje?

Mana najaribu kuwapigia simu hawapokei!
Nipe idea kiongozi!
 
Ni bora ukaenda chioni tu mwenyewe.
Mkuu
, Kuna mdogo wangu aliomba muhimbili hapo diploma course ya afya
Jana asubuh katumiwa text inayomtaka atume majina kamili na form 4 index number,

Hili jambo una idea nalo mkuu?

Nikitaka kupata uhakika wa hili jambo nafanyaje?

Mana najaribu kuwapigia simu hawapokei!
Nipe idea kiongozi!
 
Je, Unakitambua chuo cha Muhimbili School Of Midwifery kinatoa Diploma ya Nursing And Midwifery na kama unakifahamu kipoje, kitaaluma, Acommoditions na mitihani yao ni ipi ya chuo au wizara na je Diploma wanatumia hostel zipi hao
 
Back
Top Bottom