Uliza Chochote kuhusu Free Mason

Uliza Chochote kuhusu Free Mason

Nini maana ya who will serve the widow son? Kifree mason
 
Nini maana ya Freemason? Eleza dhana nzima na mtandao wake......mtu anatakiwa Kuwa na vigezo mpaka kuwa Freemason? Toa mifano
 
Ni ipi tofauti ya freemason na illuminati...then tel me just a little about Rothschild family
 
Kuna kitabu kiliandikwa na Sir Andy Chande na dibaji kuandikwa na Rais Ben kinaitwa "A knight in Africa" kinaeleza vizuri juu ya Freemasonry na ufreemanson katika Tanzania
 
Kuna kitabu kiliandikwa na Sir Andy Chande na dibaji kuandikwa na Rais Ben kinaitwa "A knight in Africa" kinaeleza vizuri juu ya Freemasonry na ufreemanson katika Tanzania

Mpaka jinsi ya kujiunga au...?.
 
Naona wamekutuma uje kukusanya wafuasi...
 
Eti kwann wanamwogopa Yesu kuliko Mtume s w.
Au Mlokole kuliko Mwislam.
 
Mpaka jinsi ya kujiunga au...?.

Ndiyo, kinafafanua hata namna ya kujiunga, ethical requirements, code of conduct na activities za freemanson globally na katika Tanzania
 
Back
Top Bottom