mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 594
Hivi kwa nn inapofkia swali la lini ajira kwa vijana WAHUSIKA wanajibu kwa siasa na kusema muda wwt kuanzia sasa? Kuna uhusiano na kwamba mwaka huu hawaajiri?
Hivi kuingia kwa ndege Mpya mbona wamesema kuwa ni 2018? Suala la ajira lenyewe halina muda mwafaka? Je suala la ajira halipo kwenye bajet? Kama lipo bajet yake imeelekezwa wap?
Suala la uhakiki halijaisha? Au ndo mwendo wakuvuta muda mpaka pale Feb 2017 kama ilivyosemwa na nkanga chief?
Mwenye uelewa na haya aseme chochote, kama huna pita kama huoni, ushauri wa kuwaambia vijana wajiajir kawashaur shulen sio humu,
Nawakilisha!