Uliyevunjika moyo pitia hapa

Nanyi mtanitafuta na kuniona mtakaponitafuta kwa mioyo yenu yote. katika maisha, the more unavyomtafuta Mungu, the more unavyosoma Neno la Mungu mara kwa mara, themore unavyofanya maombi mara kwa mara na ya muda mrefu THE MORE UNAZIDI KUSOGEA KWA MUNGU na hivyo nguvu za Mungu zinakuwa nyingi juu yako. Nguvu za Mungu faida yake ni kwamba zinaleta ulizi na baraka kwako, mashetani,wachawi waganga na washirikina wakijaribu kukusogelea nguvu zako zinayeyuka mara moja, na mipango yao yote mibaya inasambaratika, malaika wa Bwana wanakuwa wanakuzunguka kukulinda na kukuhudumia bila wewe kujua kwasababu malaika huwepo kwenye uwepo wa Mungu.

in the contrary, the more unavyokua hausomi Neno la Mungu, the more unavyokuwa haufanyi maombi au unafanya maombi vidakika vichache tu, the more unavyoishi bila kumtafuta Mungu kwa moyo wote (yaani kumtafuta kwa kumaanisha toka moyoni na kwa akili yako yote na kila ulichonacho),...the more unavyozidi kupiga hatua moja nyumba ukiondoka kwenye uwepo wa Mungu na unaweza kujikuta umefika mbali na Mungu yupo mbali sana na wewe....utaita lakini Mungu hatasikia kwasababu upo mbali mno, hauna uwepo wa Mungu hivyo umempa shetan nafasi akakunajisi na kukufanyisha dhambi hivyo dhambi zako zinakuwa zimeuficha uso wa Mungu usionekane kwasababu Mungu hachangamani na dhambi.

mwenye sikio la kusikilia na asikie!
 
Back
Top Bottom