Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

Habari ya jioni wakuu..!!

Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje mpaka mkaingia kwenye mahusiano... kwa upande wangu alikuwa ni Mkuu wangu idara, alinipita miaka 20, ukaribu wetu wa kikazi na kunishirikisha mambo yake mengi ya kimaisha ikatufanya tujenge ukaribu mkubwa sana na mwisho wa siku kuingia kwenye mahusiano. Yalikuwa mahusiano ya siri sana na yanaendelea mpaka leo.
Karibu kwa experience mbali mbali
mmm je ni sifa?
 
Nimekumbuka mbali.

Miaka 4 iliyopita nilikuwa na dada yangu ambaye anafanya kazi Halmashauri flani kama afisa mipango miji.

Boss wa sista alikuwa ni shangazi wa kama miaka 45 hivi. By then mimi nilikuwa na miaka 28. Kuna siku nilimkuta barabarani tairi ya gari yake ina pancha nikasimama. Nikamuomba atoe tairi ya spea na jeki. Nikavua tai, nikapiga jeki, nikambadilishia tairi, nikamuomba aniachie ile tairi yenye pancha nikamzibie then nitampelekea kwake, akakubali. Tukabadilishana namba tukaachana. Sikumwambia sista chochote.

Kesho yake nikampigia nikamwambia tairi ya gari yake iko tayari. Akaniambia tukutane kwenye pub moja hivi. Ule muda ulipofika tukakutana nikampatia tairi yake. Kilichomshangaza ni kwanini sikumwambia sista chochote, alitegemea sista amuulize ile kesho yake, sista akaonekana hajui chochote, alidhani ningemsimulia sista kila kitu. Akaniona msiri sana.

Kesho kutwa yake akanialika kwake. Akapika, nikala, ghafla mvua ikaanza kunyesha. Akanisogelea akajilaza begani kwangu. Kilichofuata mnakijua.

Nimedumu naye kwa miezi kama 3 ndio sista akaja kujua manake kuna wambea walimwambia wanaona sana gari yangu inapaki kwake. Sista akaniuliza nikabisha. Sasa sista akawa anaogopa kumuuliza kwasababu ni boss wake.

Nikaendelea kumla. Alinipenda sana. Alikuwa ananihonga isivyo kawaida. Ameolewa mwaka jana na kijana mmoja mfanyabiashara. Kumbe alikuwa ana stress za kupata wachumba na kukimbiwa nao.

Ninavyoandika hii comment hapa huyo mmama ni Mkurugenzi wa Halmashauri flani hapa nchini na ananipenda mpaka kesho. Nikikohoa tu muamala huu hapa.

Tena umenikumbusha ngoja nimcheki anitumie chochote nikamwagilie moyo..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mwanaume unalelewaaaa???
 
Wahuni wengi wanakaza wamaza sababu ya shida zao.
Kama mama ni mkurugenzi na amekupenda ni vigumu sana kwa kijana mwenye shida zake kuruka huu mtego ikiwa huyo mama atatoa kile utakacho.

Mimi naanza na mama nifungulie biashara ya mimi na wewe weka milioni 20 au 15 ukishindwa kumi afu tugawane mapato. Fremu ya uhakika wala sitaki shari.....kila mwezi nampa maza fungu na akitaka mbo anapata kikubwa maisha yanasonga na siri ipo maana utapigwa shaba mumewe au watoto wake wakija gundua.

😆😅😅😅 Mimi hata leo kwa huu umaskini wa duniani akija maza na kibunda chake cha kueleweka atakuwa ameniteka , siyo wale wa kutuma 20000 sijui 10000 au niwe nanunuliwa vitu vidogo, sijui niwe kula kulala, big no aje na fungu nimpe plans za biashara.
 
Dah wacha ni nyamaze nimeajiliwa moja ya kampuni kubwa ya simu upande wa kuhudumia wateja.. kazi hii naipenda ila inachangamoto sana maana inakufanya uwe malaya sana.

Ninaumri wa miaka 25,na kwenye kazi hii na miaka 5 nilipata mteja siku moja Mama wa makamo amezaliwa 1968 aliefika kwa Dada jirani yangu akiwa na tatizo la kushindwa download Picha Mnato na Videos (namaanisha picha za X) ndio usishangae.

kwakua dada ni mshika dini na ni swala safi alishindwa na ndipo Mama akaanza toa matusi makubwa, kwakua nlikua pembeni nikamtuliza Mama nikamuhudumia nikamueleza kua huduma iyo imefungwa na TCRA na wamefunga link zote zinazohusu X nikampa mbadala wakuzipata.

Baada ya apo tulibadilishana namba na kweli tukaanza chart Mama ayu anapenda sana ngono na ananipenda sana ila ni mtu ambae amedhurura sana nchi nyingi ata tembea yake unaisi kabisa Mama kaukwaa

Yani kunakipindi ananitumia picha za uchi wake nabaki njia panda nipite nae au nimpotezee maana ata ndomu pia uwa zinadunda nisije unganishwa grade ya Taifa

Just imagine 1968-1998 mtu kanizidi miaka 30
 
Wahuni wengi wanakaza wamaza sababu ya shida zao.
Kama mama ni mkurugenzi na amekupenda ni vigumu sana kwa kijana mwenye shida zake kuruka huu mtego ikiwa huyo mama atatoa kile utakacho.

Mimi naanza na mama nifungulie biashara ya mimi na wewe weka milioni 20 au 15 ukishindwa kumi afu tugawane mapato. Fremu ya uhakika wala sitaki shari.....kila mwezi nampa maza fungu na akitaka mbo anapata kikubwa maisha yanasonga na siri ipo maana utapigwa shaba mumewe au watoto wake wakija gundua.

Mimi hata leo kwa huu umaskini wa duniani akija maza na kibunda chake cha kueleweka atakuwa ameniteka , siyo wale wa kutuma 20000 sijui 10000 au niwe nanunuliwa vitu vidogo, sijui niwe kula kulala, big no aje na fungu nimpe plans za biashara.

Hapo ndio tujue hawa wenzetu mbele ya hela kuepuka vishawishi inakuwa ngumu sana kwao, kama wewe Me unawaza pesa hivyo , unadhani Ke atakuwaje!?

Sina experience na mashangazi, i wish niipate one day.
 
Back
Top Bottom