toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,480
Alisemaje πππ, me binadamu yeyote hata tukiwa tumezaliwa tumbo moja akiwa haelewi namkata kwenye mfumo wangu, sembuse mwanamke ninae mtaka nimemtongoza ukubwani ? Logic nzima ya mapenz ipo overated and sisi wahuni wa TORINO hatujali kabisa, we give zero fβs.Nyuzi za leo za watu kuvurugwa π€£π€£π€£
Kuna mwenzio mmoja katoka kufutiwa uzi wake muda sio mrefu alikuwa anatoa ushauri kwa wanaume wenzie..!!
sasa io fake ndo inaenda kuua ubongo bora ya zaman ilikua inavuruga tuSio kwamba bangi za Zaman Ndio OG Ila za sasa n feki.?
π kula chuma hichoSasa huyo ndo mwnyw π
Mambo ya vitu kuhema πAlisemaje πππ, me binadamu yeyote hata tukiwa tumezaliwa tumbo moja akiwa haelewi namkata kwenye mfumo wangu, sembuse mwanamke ninae mtaka nimemtongoza ukubwani ? Logic nzima ya mapenz ipo overated and sisi wahuni wa TORINO hatujali kabisa, we give zero fβs.
Daa mkuu ungefungua uzi kabsa maana umeongea kwa uchungu sana!Jana tu nimelia. Nilikuwa nahisi kuanza kumchoka mwanamke wangu. Nilikuwa namtafutia visababu nimuache ila hakujaa. Akaja kujaa majuzi. Alifanya kosa la kupekua simu yangu kwa siri, akapiga picha vitu alivyokuwa na mashaka navyo akakaa kimya.
Zimepita siku kama tatu akaniita kwa unyenyekevu tu na kuanza kuniuliza,nilimtukana sana kwa kunipekua, na nilidhamiria itakuwa ndio sababu ya kumpiga chini kwakuwa nilihisi simpendi kama mwanzo. Aliniomba msamaha ila nilikaidi kabisa na kumpa maneno makali, ikumbukwe siishi nae.
Nimekuja kulia baada ya yeye kuniandikia sms ndefu sana akisema leo (ambayo ndio jana) kuwa ndio amepanda gari anaondoka kabisa kwakuwa nimegoma kumsamehe, ila akanikumbusha kuwa ananipenda sana. Kaamua kuondoka na kurudi kwao na kazi kaacha alipokuwa anafanyia. Nilihisi uongo japo roho ilianza kuniuma. Nikaenda kazini kwake kuhakikisha, sikumkuta na hakuna mwenye taarifa. Ikabd niende anapokaa, nikakuta kweli kaondoka na chumba kaachia.
Nililia sana, nikagundua nampenda ila kibri tu cha kumuona si chochote. Baada ya kumpoteza ndio naona thamani yake. Nilimpigia simu tukaongea, kasema ameamua kurudi kwao tu awe mbali na mm. Tumeshafanya mambo mengi na yeye, zawadi alizonipa, upole, ukarimu na utiifu wake kwangu ndio mambo yanayoniumiza. Rafiki zake walikuwa wakinieleza juu ya jinsi alivyokuwa ananipenda na kunielezea kwao.
Ikabidi nimuombe msamaha kwa kila kitu, nilimwaga machozi. Bahati nzuri amenisamehe na ameniahidi atarudi kwa ajili yangu.
Nimepanga kuishi nae, nimegundua ni mwanamke wa kipekee sana.
Wanaume halisi huwa hatulii machozi..Kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako?
kipi kilikuliza? π
Mkuu nilitamani iwe hivyo, ila hii mada niliiona muda ambao sikupanga ikabidi niishushe tuDaa mkuu ungefungua uzi kabsa maana umeongea kwa uchungu sana!
Pole kidotiYeah kutokuaminiwa....bora uniache nijue umeniacha ila siyo unaniaminisha upo nami afu huna imani nami....aisee....niache na mapungufu yangu tafuta mtakatifu.Hata ivo hatuishi daima na hakuna tutakachozikwa nachoππ½
Noma sana ndugu yanguMambo ya vitu kuhema π