Uliwahi kukumbana na hili

Kuomba unaomba ila hupewi lkn si kipimo chakusema hupendwi sababu tu umenyimwa kipochi manyoya
 
Kuomba unaomba ila hupewi lkn si kipimo chakusema hupendwi sababu tu umenyimwa kipochi manyoya

Tatizo hizo plan za kwamba ni siku gani utanipa unakuwa unazijua mwenyewe, sasa mimi nitahisi tu kuwa unamegwa somewhere kwa sababu sio malaika kwamba nitajua 98% nini unafikiria...

Btw unaweza poteza mwaka halafu unakuja kupewa game afu unakuta demu anacheza kiwango cha taifa stars na hapo ndio mnaishiaga kusema wanaume wote mbwa, tumekaa mda mrefu amenipotezea muda na mengine mengi..
 
Vice versa is true si kila anaukusubirisha anatoa kwingine
 
Ila 98% ukiona mwanaume anasubiri papuchi mwaka basi jua anagegeda wengine, so siku ukimpa papuchi halafu iwe kiwango tofauti na alizokuwa anapata heheheh Yajayo yatasikitisha sana.

Thank me later feysher

If he's meant for me he will stay regardless wat he experience huko ndani ila kama heat n run haitomsumbua
 
If he's meant for me he will stay regardless wat he experience huko ndani ila kama heat n run haitomsumbua

Jionee hapa huyu ndugu amependa ila angalia sababu inayotaka kumkimbiza, na assume angekuwa hajapewa mwaka mzima angefanya nini..??

Kuna sababu nyuma ya pazia either ni mwenendo wa ke or ameshajifungua or ugonjwa or me anamaumbile madogo utaona mwishoni mtoa mada anaomba kujuzwa kama kuna njia ya kumsaidia mwenza wake so he is willingly to go extra ndoinaitwa LOVE
 
Mmmmmm
 
Umesema vyema chief
 
Mademu ndio zao huwa wanakuwa na wanaume zaidi ya mmoja ila na sisi wanaume tunakuwa na wanawake zaidi ya mmoja kwa ngoma droo
 
Unamaanisha kuna viumbe hapa duniani bado wanamfuatilia Demu miezi 8!!?be serious mkuu!,si afadhali ulime kilimo cha kumwagilia utakuwa umeshavuna Mara tatu!
Acha ujinga,Demu akizingua Mara tatu ndani ya week piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…