Uliwahi kukumbana na hili

Anaekudanganya nani? Dudu na dyudyu ndo Linakoleza Mapenzi. We zungushwa Mwaka Mzima eti mapenzi ni Zaidi ya Dudu Wakati huo Kuna Njemba Inatafuna kiulaini..

Hizi ni hisia zako tu kuku akiwa wako bandani atarudi tu hata iweje tatizo fikra zako ziko chini ndomnapofeli
 
Hii naona from the comments ni Ligi ya unafiki vs ukweli,
Hard to get (game) but actually easy
Hide and seek but I know where u r.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manipulation game
 
Hii naona from the comments ni Ligi ya unafiki vs ukweli,
Hard to get (game) but actually easy
Hide and seek but I know where u r.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manipulation game
Hahaaaa......


Funguka mkuu
 
Mnazinguana ukweli haupo ivo bhana,
Miezi nane ulitaka kuoa au, kama ni ndoa ungeenda kwa wazazi kama anazingua
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Usivunje kanuniView attachment 1137319
For sure nilivutiwa naye kumuweka ndani sema kadri siku zinavyozidi kwenda niliona ujanja janja wake nika disqualified CV za kuwa wife
 
Watu mna mioyo ya uvumilivu kwakweli!
Miezi 8 kwa mwanamke mmoja tu!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…