sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,373
Unafanya nini? We ushawahi kuvusha au kuvushwa?Siti ya mbele hapa
Sijawahi, ndo nataka nichukue somo hapa✍✍Unafanya nini? We ushawahi kuvusha au kuvushwa?
Nataka nikupe somoSijawahi, ndo nataka nichukue somo hapa✍✍
Niko hapa nakuskiliza mkuu🙂Nataka nikupe somo
Upo Arusha? Hili somo ni vitendo tu.Niko hapa nakuskiliza mkuu🙂
Mbona unanitisha😂😂😂... bora sipo huku nimekwepa mshaleUpo Arusha? Hili somo ni vitendo tu.
Daah another poorly calculated move.Mbona unanitisha😂😂😂... bora sipo huku nimekwepa mshale
nmevusha sanaaa aseee nashukuru sikuwai kuonekanaKuishi nyumbani kabla ya maisha ya kuanza kujitegemea huwa ni changamoto kubwa kwenye mahusiano ya kimpanzi kwa vijana wa kiume.
Enzi hizo nakumbuka nilirudi likizo kutoka chuoni, Nilimpata mwenzangu wa kusongesha likizo, shughuli pevu ikawa ni kuvusha maana sikuwa na ghetto wala pesa za gesti,
Chumba changu kilikuwa nje kwenye vile vyumba vya wageni lakini ni lazima nipite upenunu mwa nyumba kubwa.
Ilibidi niwe na ushirikiano wa hali ya juu sana kumpandikiza mdogo wangu awe jasusi wa kunifanyia uchunguzi wa mazingira kabla sijavusha, utaratibu ulizoeleka nikaanza kuzoea kuvusha mara kwa mara.
Sasa siku ya siku nimeshavusha,
Ntaendelea, nimepata dharura.....
Wengine endeleeni kutiririka visa vyenu
Hapo sawa... si uweke tu hapahapa lakini?Daah another poorly calculated move.
Ukija siku moja nishtue kwasababu somo bado lipo pale pale.
Nipo kwa nyuma yako upande wa dirishani,,Utalipa ya wawili Basi Kwa maana Niko apeche Alolo,, kama hutojali Mamii!!Siti ya mbele hapa
Usijali... tununue na popcorn kabisa tule tukisubiri mwendelezo🤗Nipo kwa nyuma yako upande wa dirishani,,Utalipa ya wawili Basi Kwa maana Niko apeche Alolo,, kama hutojali Mamii!!