Ulitengenezaje Billioni yako ya kwanza?

Ulitengenezaje Billioni yako ya kwanza?

Watu mnatengeneza Billions?
 

Attachments

  • 20231021_151712.jpg
    20231021_151712.jpg
    48.4 KB · Views: 13
Kaka upo uzi humu unaelezea haya mambo yote pamoja na masuala ya hisa kama sikosei (jukwaa la biashara umekua pinned juu pale )

Hapo utapata maelezo mazuri kwa wataalam haswa,

Tuelezee hapo kwenye Gvt bond zinakuaje
 
Acha kutisha watu jombaa. Nimefanya kazi bank sana hata hizo account zenye billioni ni za kutafuta kwa tochi..na si bank ndogo. Na hao wachache walionazo ndio Wana B za kutosha na ni makampuni sio individual. Kufikisha B sio kufikisha nanilii
 
Kwa miaka yangu hii 36.Naomba nistaafu kwa heshima kwenye harakati za kuisaka B.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom