Mimi awali nilitamani kuwa mwalimu, napenda SANA kuelekeza na nina kipaji cha kumuelewesha mtu kitu akaelewa vizuri.
Kilichonikimbiza ni maslahi na stara ya ajira ya ualimu, hata ualimu wa vyuo (ukufunzi/u-lecturer) bila ku-hustle kivingine lazima ufe masikini tu