BA DS ni nini??? Wengine ni std 7 hatuelewi.Nilitamani kuwa Mwanaheria, lakini peer pressure ilinisukuma vibaya, pia kukosa ushauri mzuri na kujiamini kulipoteza. Nilifaulu vizuri sana form six, nikaambiwa sheria ngumu sana, utadisco, nikaomba sheria UDSM nikapata ila nikasema wameniambia sheria ngumu, nikaacha kwenda kusoma sheria nikaishia kusoma UDOM course nyingine kabisaaa BA DS. Ila I believe whatever happen, it happens for a reason, With what i studied imenipa fursa na opportunity nyingi sana nilifanikiwa na kusoma MA, Namshukuru Mungu i am not where i wanted to be, but I am in a place where I not used to be.
Hiyo ni Bachelor of Arts in development studiesBA DS ni nini??? Wengine ni std 7 hatuelewi.
NisingekukosaNilitamani kuwa mwanajeshi, nikazuiliwa kujiunga jeshi kwa kuwa eti "huko jeshini nitaliwa sana"
Sahivi natamani kuwa Tajiri tu
BA DS ni nini??? Wengine ni std 7 hatuelewi.
ThanksHiyo ni Bachelor of Arts in development studies
Nani?Namshukuru Mungu sana....nilitamani kuwa yule ambaye hatimaye nilikuja kuwa, tena na zaidi !!
Nani?
Si kazi, wengine mpaka kwenye mikoa na maeneo wanayoyafanyia kazi sio waliokuwa wanayategemea.Nimegundua Kati ya watu kumi mmoja ndo hufanikiwa kukamilisha ndoto yake wengine huangukia kwenye kazi ambazo hawakupanga
But whatever ishallah maadamu mkono kinywani
Bro mimi sijui kama ilikuwa ndio ndoto yangu au talent, Nikiwa mdogo nilikuwa mhangaikaji kweli kweli kwenye biashara. Nilianza biashara ya kuuza sigara(1984) kwa mtaji wa ZIRO mpaka ukafika sh 1500/=(wakati huo mfuko wa sukari wa kilo 50 ulikuwa unauzwa sh 1000/=). Nilianza kwa kuuza sigara, nikauza magazeti na mifuko ya kutengeneza mwenyewe kwenye bucha za nyama, niliwahi kuza ndizi za kupika kwenye Keep-left, niliwahi kuuza unga wa YANGA, niliwahi kuuza SUKARI kwa kilo. Hiyo ilikuwa ni kati ya 1984 na 1988."Nilitamani niwe hakimu ni wahukumu watu wabaya hasa waliohusika kwenye kifo cha baba yangu lakini nimeishia kuwa daktari nayaokoa maisha ya watu hata wawe ni majambazi" (mwisho wa kunukuu)
Je wewe ulitamani kua nani? Ndoto yako imetimia au haikutimia?
Ni changamoto zipi ulikutana nazo?
Nawasilisha
Nilitamani kuwa Rais, lakini nimekuwa mfugaji mkubwa wa nguruwe nchini.
Aiii.... Hebu kidogo tu banaAcha uchokozi banaaaa...utanifanya nimwage mtama bure halafu dots zianze kuwa connected kirahisi. Tusifanyiane hivyo dear!! Ha ha ha
Elimu ya SiasaHiyo ni Bachelor of Arts in development studies
Mkuu inabid uende ukaishi Geita au Kahama !!Nilitamani sana kuwa MLIPUZI na MCHORONGAJI.
Drealling and Blasting...migodini.........Kila ninanposikia mlipuko napata mzuka kama mwehu.😡😡
Huyu ndio mchorongaji
na hapa ni ulipuzi(blasting)
Aiii.... Hebu kidogo tu bana
Aise nakuja chemba[emoji126] [emoji126]Bibie mimi bana chichemi ng'o...ha ha ha.
But on a very serious note, kiukweli namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kufika pale ambapo nimefika !!!