Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Asante sana kaka. Kichwa kinaniuma sana. Ushauri wako ni wa msingi sana. Sometimes nawaza kuwa yawezekana umri unabadilisha mtazamo wa mtu. Yawezekana anatumia fikra ya kiutu uzima kutaka future na mimi.
 
Kaka ni muda Sasa wa wewe kutesaa kwa zamuuu ameshaaa tumikaaa hukooo anakujaaaa kujipoozaa kwakooo kataaa kataaa kataaa kabisaaaa ingawaaa naonaa asilimiaa 96% unataka kuingiaa kingii achaaaa mazoeaa nayeeee huo ndioo ushauriii wanguu
Asante kaka kwa kunishauri.
 
Form 5 alikataa tuseme alikuwa na masomo. Form 6 akatoka na monitor, ashajua mapenzi uhakika tunao. Chuo miaka mitatu, ongeza miwili ya mtaani. Jumla miaka 7 ambayo atakuwa na range ya umri wa 25-27. Ndo muda wake wa kuolewa hivo anatafuta penye upendo wa kweli ashaachana na walamba lips maana hawamuoi
 
Mkuu endelea kumdanganya jamaa akamle then akute binti ni mtamu kunoga! Hakika komamanga la watu litanasa na likinasa likashindwa kutokana lawama zitaletwa humuhumu..😂
 
Sjawah kuona comment yako yakigaidi kama hii,
 
Mshauri akamle sasa sehemu nyengine si za kuhit and run! Nyengine ni za ku run tu moja kwa moja..
Hapana...huyo anafaa nyumbani...ili apitie machungu niliyopitia.

Unamkaribisha...unapiga....tena asipate shida siku hiyo hata kidogo....

Kisha unamfanyisha usafi halafu unampeleka kwake...ukifika kwako unakata mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…