Mara nyingi tu nimeshaona kwa magari maalum ila sio kama hao.
Siasa yetu hii
Nimedanganya nini sasa?Acha kudanganya watu hakuna magari maarumu yanayopiga deki labda kama hujaelewa mana ya kupiga deki
Huna mpya kama vipi kaa kimya.Kwa gari hilo hilo nikaenda kumwa maji kwenye mchanga ni kupiga deki huko hilo si deki up utaratibu upon nchi nyingi kwa wenzetu hasa nyakati za kiangazi lakini si deki hilo labda nkuulize mana ya kupiga deki ndio mana nikakwambia labda kama huelewi maana ya kupiga deki
Huna mpya kama vipi kaa kimya.
Sio unakurupuka
Nimekuonesha moja ya gari inayofanya shughuli hizo.Hapo ni residence we been talkin of barabaran kaka vip hayo mengine yana wet sio mopping the road