G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Duh alikuwa kamili kweli? Mtu ambaye si ndugu yako kulala naye kitanda kimoja hata kama hamtafanya ila lazima pepo la kash kash liwatikise sana! Huyo hakuwa kamili na huko alipo huenda......................aAlikuwa anaitwa Don ni mwanaume nilimpenda anamadili anapenda watu.
Anapenda kunijali nakunipenda ogopa alini treat like his sister nilimpenda sana mpaka kakwea pipa bhana hajarudi.
Namkumbuka kwa ukimya wake,upendo wadhati , kunichambua kama mchele.
Alionyesha ni a true gentlemen.
Just imagine unalala na Don the same bed halafu nothing happen.
Nitakukumbuka sana Don Maana hadi na sasa sijapata kama Don.