Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Daaa huu uzi umenigusa mmnoooo,
Nilikuwa na rafiki pia, alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu,
Alikuwa na mwanamke ambaye sahizi ni mke wake, nilimpenda yule dada kwaajili ni demu wa rafiki yangu, alipooa nadhani ilikuwa ni ndoa yangu ya
eti ameoa jini.
 
Daaa huu uzi umenigusa mmnoooo,
Nilikuwa na rafiki pia, alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu,
Alikuwa na mwanamke ambaye sahizi ni mke wake, nilimpenda yule dada kwaajili ni demu wa rafiki yangu, alipooa nadhani ilikuwa ni ndoa yangu ya
Mtu akishaoa kuendeleza urafiki kazi sanaa...
 
Umenikumbusha msh'kaji wangu G,daah!!! Tulikuwa zaidi ya marafiki buanaa pale SJUT Dodoma,.yaani ni yule msh'kaji ambaye akisafiri akachelewa kurudi chuo na assignments zinatakiwa basi nakesha Google namfanyia na namkusanyia kabisaa and likewise,.mmoja kati yetu akiwa na changamoto yoyote ile hata ya mahusiano basi tutaumia wote,hadi kupiga 🍻🍻 tupo wote in short tulikuwa karibu kuliko tulivyokuwa na wapenzi wetu,.

Sijui kwann urafiki wetu ulikuja kuisha namna ile 😔ila najua ulikuwa damu yangu kinyama,.popote ulipo nakutakia tuu yenye kheir,tulibebana sanaa G,. anyway one love 💕
Kumbe humu tunahanja na wanafunzi wetu kumbe
 
I'd rather be called manipulative than being okay with a female friend who is much closer to my hubby than me.
Mkuu mbona wakati wa uchumba mtu anakuwa okay kuwa close na boyfriend wake Tena nyinyi wote watatu mnakuwa marafiki, Wakikosana wewe ndo kimbilio unasuluhisha kesi. Ila akiingia kwenye ndoa wewe unakuwa mbaya
 
Mimi huwa tunaanza vizuri kabisa Mwaka hata miaka 2 Lakini mwisho wa siku huwa tunaishia Kutiana.. na baada ya hapo urafiki hulega lega na kuwa Wapenzi na mwisho huishia kufa vyote..
 
Alikuwa anaitwa Don ni mwanaume nilimpenda anamadili anapenda watu.
Anapenda kunijali nakunipenda ogopa alini treat like his sister nilimpenda sana mpaka kakwea pipa bhana hajarudi.

Namkumbuka kwa ukimya wake,upendo wadhati , kunichambua kama mchele.
Alionyesha ni a true gentlemen.
Just imagine unalala na Don the same bed halafu nothing happen.

Nitakukumbuka sana Don Maana hadi na sasa sijapata kama Don.
 
How daft.

Learn to keep healthy boundaries and respect friendship just like the female friends respect your marriage.

Not every female is a hoe and is after your man. They themselves have their own men.

ar wi tugeza?
Kuna English Tanganyika International School na hii yetu ya Hawa the bus driver ya kwako ni hiyo ya kwanza hapo.

All in all you nailed it....
 
Back
Top Bottom