Ulishawahi kuumizwa na mapenzi?

Shida ya hayo yote ni kuwa na mwanamke mmoja. Hapo lazima mwanamke akuone boya
Una moyo sana. Ningekuwa mm kwa maumivu hayo, lazima nipite na mwanamke mwingine na hiyo lazm ajue.
Kwahio sipo sahihi kumsamehe?
 
We jifanye kumuonea huruma na kumpenda upendo wa agape, ipo siku utakuja na Uzi tena unaomba mbinu za kumwacha aliekusaliti baada ya kumsamehe kwa usaliti wa kwanza.
 
pole sana, lakini kumbuka msamaha uliotoa kama uliamua kusamehe kwa dhati, endelea kuvumilia. maake maumivu yanakuja kwa vile uliona, lakini kumbuka matendo kama hayo yanafanyika sana tu kwa kila mtu, ila huwezi kushuhudia. lakini pia hakuna wa peke yako duniani.
 
Asilimia kubwa ya vijana wa kiume siku hizi wanapoteza muelekeo na focus za maisha sababu ya wanawake hasa hasa hivi videmu vipumbavu
 
Istoshe unaoneka ww ni baba wa nyumbani aka kula kulala na dem ndo mwenye kutafuta,haya bana
 
Yaani Mimi nikigundua tu demu kanicheat,huwa sinaga kuremba.....nikupiga engine chini chap Kwa haraka....demu mpaka anakucheat maana yake ameshakutoa akili mwake so jiongeze bob,piga chini hiyo kitu anza maisha mapya....mbona wako wengi tu hawa viumbe😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…