Ulishawahi kutuma ujumbe (SMS) kimakosa?

Ulishawahi kutuma ujumbe (SMS) kimakosa?

Mwaka Jana kuna mdada aliniunganisha na mdada Fulani.hivyo huyo Dada akaja kwangu siku iliyofuata Ili tuonane na kukubaliana kuhusu mahusiano.sasa wakati namuimbisha akawa kama hanielewi,ikabidi nitume ujumbe kwa aliyeniunganisha ujumbe wa nini kinaendelea huku kwangu na yule mtu aliyeniunganisha,kumbe kwa vile namba ya yule aliyekuja ilikuwa ndio ya kwanza bila kujua nikamtumia ujumbe unaosema" .... mtu wako huku haeleweki ila ngoja nikomae naye nione mwisho wake..kikubwa hapa aliwe tu." Halafu nikatuma..kumbe nimemtumia muhusika.baada ya mda nasikia anapokea ujumbe ghafla nikahisi kitu kucheki simu kumbe sijatuma kwa mhusika niliyemtaka..yaani nilihisi nipotee lakini nashukuru hakujali na mzingo nilikula siku hiyo hiyo
NAKWEDE
hahahahahahaahaah
 
Unatumia simu ya kitochi?

Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conversation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.
Hayo ndo matatizo ya kutumia smartphone mda mrefu then unahamia kwenye kitochi lazima ujichanganye
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Simtetei mtoa mada lakin mimi yashawahi nikuta...simu za tecno sio simu.... Yaani ukiwa hujafungua ile app ya message tuseme labda upo pale kwenye menu tu... Ikija message pale chini inakupa option ya kuifungua au kuijibu hapo hapo sasa ukichagua kuijibu papo kwa hapo kipindi unaandika ikaingia message nyingine inakuja kukaa kwa juu na vile unavyotype inajiendeleza...unakuta ile message unayomtumia yule mtu wa kwanza imeenda kwa mtu aliyekutumia text mwishoni...ogopa sana hiii kitu.
 
Aisee ishawahi kunitokea enzi za simu ya kitochi, kuna mtu tulikua tunajibizana,akanitukana hivi,sasa nikamrudishia bonge la tusi dooh kumbe sms imeenda Kwa mshua, nilijutia sana,eti hakuamini kama Mimi ndye nimeandika vile, nimekomaa.
Hahaha hata mimi siamini kama unaweza kuandika bonge la tusi.
 
[emoji3][emoji3]juzi niko na mwana sehemu,ananionyesha sms ya shemeji yangu(demu wake)imeingia muda huo huo.inasomea hivi"baby samahani naomba nitumie nauli lazima nije nlishindwa jana jamaa alikuwepo"[emoji3][emoji3][emoji3].

nikashtuka kwamba labda jamaa sijui atakuwa na hali gani,akaniangalia akacheka kisha akainama chini anasema"wanawake hawa jamani"kisha akarudishia ile sms demu wake,ah demu akajibu "Mungu wangu"

kuna mtu aliandika FB hivi.kama una cheat kuna siku moja isiyo na jina utajichanganya sms zitabambwa,utajilaumu sana[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa ana roho ngumu asee
 
Niliwahi tuma picha mbaya ya demu kwenye group la ofisi ambayo naheshimika hatari, mbaya zaidi kipindi hicho whatsap kulikuwa hakuna option ya kufuta
 
Hahahaha

Mleta Uzi usinikumbushe jamani..
 
Mm nishakosea nikamtumia jamaa sms ya tigo pesa laki na sitini na tano elfu. Nikamtumia ujumbe kuwa hiyo ni pesa ya sadaka ya Mskitini ukiila shauri yako ila wapi nadhani mbuzi alikufa kwa muuza supu.
 
sio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husika
Ndio maana natumia hangouts ya zamani kutuma na kupokea sms
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nishakosea nikamtumia jamaa sms ya tigo pesa laki na sitini na tano elfu. Nikamtumia ujumbe kuwa hiyo ni pesa ya sadaka ya Mskitini ukiila shauri yako ila wapi nadhani mbuzi alikufa kwa muuza supu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom