Ulishawahi kutuma ujumbe (SMS) kimakosa?

Unatumia simu ya kitochi?

Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conservation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.

Unazungumzia smartphone zipi amabzao wengine hatuzitumii

Kukosea unakosea tu hata iwe smartphone

Sisi tunaotumia iPhones hakuna kitu kama hicho.. nadhani ni kwenye Tecno tu

Tena iphone rahisi sana kukosea

Kuna ile notification inatokea juu halafu una drag kidogo ujibu

Sasa unawezajikuta umemjibu mtu kitu kingine kabsa ambacho hakimhusu

Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.

Itoshe tu kusema kwamba wewe ni MPUMBAVU.
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
😳😳😳😳😳 khaaa kuna watu humu
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Duh watu mnafail wapi ???
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Astaritulilah
 
Aisee ishawahi kunitokea enzi za simu ya kitochi, kuna mtu tulikua tunajibizana,akanitukana hivi,sasa nikamrudishia bonge la tusi dooh kumbe sms imeenda Kwa mshua, nilijutia sana,eti hakuamini kama Mimi ndye nimeandika vile, nimekomaa.
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.

Nadhani Wang wenu humu mnajibu bila kuangalia mwenye Uzi kasemaje kuhusu kutuma msg kimakosa.
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Aisee na wewe umezidi mno! Mtake radhi mtoa Uzi we veeep!
 
Mwaka Jana kuna mdada aliniunganisha na mdada Fulani.hivyo huyo Dada akaja kwangu siku iliyofuata Ili tuonane na kukubaliana kuhusu mahusiano.sasa wakati namuimbisha akawa kama hanielewi,ikabidi nitume ujumbe kwa aliyeniunganisha ujumbe wa nini kinaendelea huku kwangu na yule mtu aliyeniunganisha,kumbe kwa vile namba ya yule aliyekuja ilikuwa ndio ya kwanza bila kujua nikamtumia ujumbe unaosema" .... mtu wako huku haeleweki ila ngoja nikomae naye nione mwisho wake..kikubwa hapa aliwe tu." Halafu nikatuma..kumbe nimemtumia muhusika.baada ya mda nasikia anapokea ujumbe ghafla nikahisi kitu kucheki simu kumbe sijatuma kwa mhusika niliyemtaka..yaani nilihisi nipotee lakini nashukuru hakujali na mzingo nilikula siku hiyo hiyo
NAKWEDE
 
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Huoni hata aibu smdh
 
Mi sijawahi kukosea ila kuna dada tunafahamiana alikosea akatuma ujumbe wenye maneno ya kutoka moyoni kabisa ukaja kwangu mbele ya demu wangu.
Ile kesi kila siku nilikuwa naulizwa "niambie ukweli, fulani umetembea naye hujatembea naye! Niambie ukweli tu yataisha" mwisho wa siku ikabidi nikubali kuwa nimetembea naye ili yaishe, kumbe niliharibu zaidi.
Kwa kufupisha stori ilibidi nitembee naye ili nisionekane nimeidhulumu nafsi.
 
Back
Top Bottom