Ulishawahi kusitisha muamala wa Fedha kwa Mpenzi wako?

Yani namshukuru sana mama angu alinifunza kujitegemea tangu ningali kinda...! Sijawahi kupigia mahesabu hela iliyopo mfukoni mwa mtoto wa mwanamke mwenzangu kabisa, mpaka ananiweka na vikao napata wapi ukitaka nipe usiponipa siombi hata iweje....
Asee mkuu uko wapi.....nikufate..
 
Wanaume tafuteni hela jamani

Toka za mababu wakati wa barter trade ni kuhonga tu hata kama chumvi na gold.

Ukisoma hapa ni 6,000, 10,000 akihonga sana 100,000-200,000 na jasho la meno linatoka!!!!!!


Mmoja tu naona kadaiwa 700,000 ya kodi na mwenye 1,000,000!!!!!

Tafuteni hela au tafuteni wanawake wa hadhi yenu!!!

Ila mkiwanna hawa msingi kiuno mtapewa shida mpaka za mababj zao!!!!

Nb

Mwanamke hata awe millionea anapenda kupewa na kuhudumiwa na mwanajme wake....inampa raha na hisia kwamba yupo na mwanaume.mpambanajk anayeweza kumrescue na kusimamia mahitaji ya familia.

Mtanisamehe kama nimetoka nje ya mada yenu


Niliyemuuzi anywe maji mengi apunguze makasiriko
Hata mo Akijua kaibiwa 100 atamind tu. Sasa wewe unae zani kuuza utu wako ni fasheni endelea kujitapa
 
Yaani wewe wakumtimizia majukumu yake tu,lakini kunabaharia hata vocha ya jero hatoi hapo.

Mpende mama

Kuna demu Juzi kaomba 200k nikamwambia sina namtumia nilichonacho basi nkamuwekea 100k jibu nililopata ndo likafanya nisitishe muamala
 
wakishua kuwapata ngumu hao hawana chakudanganywa mpka wakupende wao mwenyewe, au utumie nguv kubwa kuwashawish....apa mtaan yupo mmoja yaan hadanganyiki, ukitumia vijisent kumuhonga, anakurudishia hela ya zaid ya mshahara wako wa mwaka kwa dharau, af anakwambia jiheshimu bro
Nitumie namba yake mkuu, huo si ajira huo,.. natuma 500k narudishiwa 6000k
 
Kusema asante ni kipaji ,mimi hata ukinipa elfu moja lazima niseme asante ,hawa wapenzi wetu hata umtumie laki 3 hata asante hasemi yaani itakulazimu wewe kumpigia kuconfirm kama kapata!
 
Nimekupenda bure

Peleka pesa kwa mama sio kuhonga

Hivi najiulizaga, utakuta mdada hana kazi wala biashara halafu anapanga chumba, pesa wanatoaga wapi

Naomba upewe chochote unachohitaji...

Uje dm na lipa namba nilipie...
 
Back
Top Bottom