The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Pole Sana.Nilisingiziwa nimekata mtama(mmea) nikala muwa na mama mdogo, bi mkubwa alipopata taarifa alinishushia kichapo. Ilikuwa utotoni(around 8yrs).
Unyayo uliangaliwa wakazani ni mimi wakati haikuwa mimi na sikujua alikuwa nani. Kitendo hicho cha kusingiziwa sijawahi kukisahau hadi leo na huwa nasikitika sana kwa kosa ambalo sikulifanya.
Yapo mengi ila hili ni miongoni.
Roho za Kinyongo rilo π€£π€£π€£Ndugu Zako Walikusagia Kunguni Unuke!!ππ
Hayo Ndiyo Maisha Fitna,Husda,Nyongo,Kijicho,
π€£ππππ
Ulikula mboko za standard geji πNilisingiziwa nimekata mtama(mmea) nikala muwa na mama mdogo, bi mkubwa alipopata taarifa alinishushia kichapo. Ilikuwa utotoni(around 8yrs).
Unyayo uliangaliwa wakazani ni mimi wakati haikuwa mimi na sikujua alikuwa nani. Kitendo hicho cha kusingiziwa sijawahi kukisahau hadi leo na huwa nasikitika sana kwa kosa ambalo sikulifanya.
Yapo mengi ila hili ni miongoni.
Inaitwa Kisokolokwinyo π π€£ππRoho za Kinyongo rilo π€£π€£π€£
Ndio mkuu.Ulikula mboko za standard geji [emoji28]
Heheheheh lazma upotezee tuNdio mkuu.
Mara nyingi wazazi hawajiridhishi na kosa, wanatoa adhabu wakizani wanadanganywa endapo akianza kujitetea. Athari yake endapo mtoto asiposahau hiyo adhabu inakuwa ni jambo jingine jipya
Ndio maishaNdugu zangu tunaishi katika dunia ya hatari sana. Chuki, wivu, hasira, uroho, urafi, wizi, kusingiziana imekuwa sehemu ya maisha yetu.
Hakuna kitu kinaumiza moyo kama kusingiziwa jambo la uongo ambalo hujalifanya au kujaribu tu kulifanya. Binafsi nimewahi kusingiziwa jambo la hatari sana, tena na ndugu zangu kama siyo busara ya watu fulani hivi ningepotea kabisa.
Tukio hili sitalisahau maisha yangu yote . Nilijetanga nikaishi maisha yangu. Nilisamehe lakini sitasahau.
Je wewe ulishawahi kusingiziwa jambo la uongo?
Hahahahah hio hio πInaitwa Kisokolokwinyo π π€£ππ
Haaaaa,haaaaaanishawahi pindishiwa maneno kosa nilifanya ndio lakini njia ya ufanyaji ikakolezwa! Yani mi hela ndio niliiba ila nikaambiwa ati niliiba kwa kupiga mtu kabali..[emoji23]
Baba wa rafiki yangu nae akasemaga kuna manzi fulani natoka nae kumbe mwanae ndo anatoka nae!,akanikandia mbele ya familia yake aisee nilibisha huku nikiwa very comfortable aibu ikaamia kwake ila sikumwaga mchuzi kumchomesha jamaa yangu..
Kwa hulka niliyonayo ngumu kidogo kunisingizia maana kabla sijajitetea kama Kuna wanaonifahamu wanaweza kunitetea au hata ndani yako tu kunaweza kuanza kunitetea!. Kenzy wa jf ni mtundu ila nje na hapa kenzy ni mpole si kenzy kiberenge au komamanga..[emoji1787]