Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,756
- 13,856
Wakuu
Habari za alfajiri?
Misiba ni moja ya matukio yanayokutanisha watu mbalimbali,na wakati watu wanamsaidia mfiwa,kimazishi,kumriwadha nk lakini kuna wakati unaweza ukajikuta umempenda mtoto wa watu na kuingia nae katika mahusiano
Katika pitipita zangu hili lishawahi kunitokea ila katika angle tofauti, alikuwa ni x wangu tuliyeachana nae na akaenda Arusha kimasomo nyumbani kwao ni jirani yangu
pasipo kutarajia wala kuhisi atakuwa amerudi nilimuona akishiriki mazishi ya mtoto mdogo aliyefariki siku mbili zilizopita,
mapigo ya moyo yalienda mbio,baada ya mazishi nilimtafuta na usiku nikafanikisha kulala nae
tuambie ulishawahi kupata pisi kali msibani na wewe dada ulishawahi kupata handsome boy msibani? secretarybird