Usipokuwa makini unaeza ukaua na wanatumia kulia lia kama kigezo cha kujiteteaDah! Umenikumbusha, niliwahi kuwa nae mmoja.. Jambo dogo tu analia, alikua ananikera sana plus alikuwa na tabia ya kuomba omba msahama kila mara jambo nililokuwa sipendezwi nalo.
😂😂😂
Hippopotamus alafu anadeka duuuhDemu akiwa mnene alafu aanze kudeka anakera kichizi
Dah!😂😂🙌 nimecheka sana!Demu akiwa mnene alafu aanze kudeka anakera kichizi
🤣🤣🤣🤣alafu nyie acheni mapuuza, hao wanawake wanahitaji watu wanaojua kubembeleza sasa wewe rasta muuza maji hawakufai
Sasa unamuuliza huyu mtoto hafanani na mm badala aseme kapime dna analiaalafu nyie acheni mapuuza, hao wanawake wanahitaji watu wanaojua kubembeleza sasa wewe rasta muuza maji hawakufai
Ulikuwa unanikera sana mamaa, nakumbuka ile siku nimekuletea zawadi ya valentine ukaanza kulia mpaka unalala chini
🤣🤣🤣🙌🏿Ulikuwa unanikera sana mamaa, nakumbuka ile siku nimekuletea zawadi ya valentine ukaanza kulia mpaka unalala chini