Vampiree
JF-Expert Member
- Jun 29, 2020
- 529
- 1,328
Amna aja ya kusalimiana tutasalimiana ata kuzimu .
Nianze na msala ulio nikuta. Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu za mihangaiko nikapita kwenye kahoteli kamoja ambako nimekazoea niweze kuweka chochote tumboni .
Naona mkusanyiko wa watu wamerundikana kama vile wanashudia pambano la ngumi za kiutu uzima.
Nikasema ngoja na mimi nijisogeze nishudie pambano, Nikajichanganya katikati nikiwapenyeza watu ili niweze kuona pambano kwa usahihi.
(walikuwa ni jamaa wawili wanapigana kisa jamaa mmoja ametembea na mke wa mwenzake.)
Baada ya kuwa nimesogea sehemu ilio ya wazi sasa kwa kushuhudia pambano, nikasikia kama kunamtu amenishika mkono ile kugeuka ni Polisi nikawa mpole kabisa nakihisi sina kosa mana nilikuwa mpenzi mtazamaji. wakanikamata, na mimi nikaonganishwa kwenye ule ugomvi .
Najaribu kujitetea jamaa awanielewi wananiambia nitajieleza kituoni. Jamaa walinikazia tukapelekwa ndani kwanzia ijuma adi jumatatu na Faini juu.
Shea na wewe msala uliokutana nao