Ulishawahi kukutana na msala gani na polisi?

Kinachonisaidia nikifika huko vituoni kwao wananifananisha na boss wao mstaafu, mara ya mwisho hapo nilienda kulikuwa na kesi iliyohusu waumini wetu.

Walinikaribisha mesi kwao wakaninunulia cha na soda na maji juu, wananiita boss.

Duu niliondoka kama naenda toilet nikaishia na vitu vyao sikula.

Huo upande niko salama.
 
Back
Top Bottom