Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

Kuna siku nimetoka na mwanangu kwenye kazi fulani mida ya saa mbili usiku na ilikua jumapili ikaja wazo tupitie maeneo fulani kwaajili ya dinner ila kwa sharti moja.
(No alcohol) maana namjua jamaa yangu ni mlevi balaa
Kiichotokea niliamka na elf sita full hangover na kazini sikuenda halafu simu imejaa namba za malaya sijui nilichukua saa ngapi?
 
Niliwahi jitutumua demu nikampelea mpka mbudya, na mbaya zaidi muda tunarudi gari ikakwanguliwa ubavuni na roli, then tunaagana hata kumla mate akagoma, nikajisemea hapa mkeka ushachanika!
Kwa haraka haraka nilipata hasara kama ya 400k

Siku hizi sifanyi huo ujinga,mademu wa mjini njaa kali sana, mtu anasema ana boyfriend date anakuja kufanya nini kama sio njaa tu!
Sio njaa, wanawake wanakomoa tu sometimes
 
Niliwahi mtoa out demu tukapiga mitungi na mikasi sana, ile tusepe home mida ya saa7 demu anadai simu yake haioni.

Nikampotezea nikijua analeta drama ili anipige mzinga wa kumnunulia simu nyingine,maana ile ilikua imechoka sn.

Ile nafika kazini asubui polisi hawa hapa na yule demu nahitajika kituoni kwa kosa la wizi wa simu, nikawaelezea polisi jinsi ilivokua wakashauri tuyajenge.

Ikabidi nimlipe hela akachukue simu nyingine, maana sikutaka ishu iwe kubwa na ukizingatia ninafamilia.

Hiyo hela inaniuma mpk leo jumlisha gharama tulizotumbua hiyo usiku, kweli mademu hawana huruma.
Hiki kinyongo hakitamuacha salama
 
Nilienda kiwanja na 250k


Yani shetani huyu

Kuna mali flani ilikua kali balaa nyupee peee
Picha linaanza ikaja meza yetu hapo bado hata hatujaanza kuchafua meza anaomba ajoin hapo amekosa meza siku nyingine ukiwa umejiandaa kisaikolojia hamna anayekuja

Mara dakika 5 nyingi kumbe anawenzake wawili wapo wakali wakali kama yeye

Siku hiyo nimejipanga natulia tu sichukui mtu ndo ile shetani ikawa inashoboka balaa

Anakunywa heineken tu

Zilipukutika ukijumlisha na kulala naye ilibaki kama aftatu hiviafu ana makovu kama ambarute kwenye k yani substandard show kabisa

Anyway wanaume akili zetu tunazijua wenyewe
Hii line ya mwisho
 
Back
Top Bottom