Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, I was under probation. But the guy was there for 3 years already. Jamaa alikuwa anaaminiwa sana huko headquarters kiasi kwamba chochote atakachosema kuhusu mimi hawezi kupingwa. Alishaanza kunitangaza kuwa mimi ninakiburi huko Dar kwa sababu ninapigania haki yanguSwali la kizushi:-
Ikiwa kulikuwa na mikataba, pamoja na makubaliano uliyotoka nayo DSM, sasa kwanini usingefanya mawasiliano na makao makuu iliyopo DSM kuwaambia hali halisi?
Sio lazima yeye akuombe wewe msamaha ila unaweza kumsamehe mana pengine yeye hata hajui kama uliumia kiasi cha kumchukia kiasi hicho. Wanasema "Samehe sio kwasababu yake ila ni kwaajili ya maisha yako " mana anayeteseka zaidi ni wewe kuliko yeye .Mana kitendo cha wewe kwenda kumuona Pamoja na mambo aliyokufanyia kitamtesa zaidi ya wewe kutokwenda .Jamaa hakuwahi kuniomba msamaha kwa maovu aliyokuwa ananifanyia. Unaanzaje kumsamehe mtu ambaye hajutii makosa yake?
I'm sorry I can't. Akifa nitafurahi sanaSio lazima yeye akuombe wewe msamaha ila unaweza kumsamehe
Brother, that was a very painful moment by thenpengine yeye hata hajui kama uliumia kiasi cha kumchukia kiasi hicho.
Hata mm sjaelewa na wala sjaona wapi walikua marafikiKwani kama hapo nyuma aliwahi kukufanyia ubaya na mkawa maadui kwa sasa ukienda kumwona ndipo mtakuwa maswahiba wa karibu (best friends) kama ulivyotaja kwenye kichwa cha mada yako?
Kitendo cha watu wawili na taasisi NGO kwenda kufanya kazi kijijini ndani huuukooo, automatically mnafuwa ni marafiki.Hata mm sjaelewa na wala sjaona wapi walikua marafiki...
Hii mimi bado sijawahi kumfanyia mtuHuwa inatokea mtu unakutana nae ile first impression unatokea kumdiss tu bila sababu
Sawa. Wachache wakinielewa inatosha sana...heading na content tofaut
Absolutely rightsiku ukipata nafasi ya kukaa nae unakuja kugundua kwamba ni mtu poa sana
Hii iliwahi kumtokea rafiki yanguSema ile first impression mlikutana vibaya tu..
You're very straightforwardLakini swala la mtu tulishatibuana halafu tuwe best friends haijawahi kutokea aiseeh..
Maisha ya siku hizi unafiki ni mwingi sana kuliko reality. Unakuta mtu anakuchekea tu mdomoni ila moyoni ana kinyongo na wewelabda ka unafiki tu ka kuchekeana ili maisha yaende kama mko sehemu ambayo huwezi kumpotezea mazima
Bila shaka ilikuwa depo moja na binamu yangu@Nikiwa jkt kanembwa 2013 kampan ya chaii koi
Huu kwangu mimi ninaitaga ni upuuzi tu...Huwa inatokea mtu unakutana nae ile first impression unatokea kumdiss tu bila sababu
Wow interesting story,Nikiwa jkt kanembwa 2013 kampan ya chaii koi baada ya doso la ukurutu kukomaa kwelikweli Kuna siku moja tukiwa foleni kusubili msosi mesi saa 8 jua la kigoma likiwa linachoma kisawasawa vipara vya wembe
tukiwa tumekaa chini ya ile ardhi nyekundu mimi nikiwa na plate yangu mkononi nikiwa kama mtu wa tano kutoka mbele Kuna baadhi ya kuruti wakawa wanagombania nafasi ya kuchukua msos pale mbele basi bhana Kuna afande alitoka huko na bonge LA fimbo akachapa mstali wa mbele wale kuruti kujiokoa wakarudi nyuma kwa kasi nikasukumwa na kuanguka chini nikiwa chini nikanyanyua miguu juu kuzuia jamaa wasinilalie wote
Kuna jamaa akafikia kweny ile miguu niliyo nyanyua juu basi kujiokoa nikampush jule jamaa kwa nguvu bahati mbaya kulikuwa na nguzo ya zege pemben kidogo jamaa akaivaa ile nguzo akaumia basi bhana weee nikiwa pale chini jamaa alinirukia kama simba kaona swala nilipigwa makonde ya uso ya maana kama manne mfululizo
Nikiwa bado nipo chini yule mwamba yupo juu nikiwa na plate yangu nilipa jamaa yule plate ya usawa wa jicho moja tuuu mpaka akachanika damu ikaanza kutoka kwa kasi
Akaja afande kwa Jina tulikuwa tunamwita cyborg alikua MP akaanza kutupa doso pale mm ndio nikaonekana mkorofi nikakunjwa kisawasawa basi baada ya doso la maana kukloo kweny maji machafu ya pale mesi kupiga simu kweny kokoto tukafungwa mashati tukaenda kuoga wote kila mmoja anamtuka mwenzake tukamaliza na kufua tukafungana Tena zile Greenvesti za jkt tukarudi ikawa kila sehem tumefungana mashati kwa siku kadhaa
Yule jamaa alikuja kuwa rafk angu mkubwa mnoooo siwez msahau tulifanya mambo mingiii pamoja kila nilipo nae yupo
Kuna siku story inayofuata apo mpaka kupandishwa vyeo na uyo jamaa kuwa majemedari wa kuonja msosi Kwahiyo sisi tukawa tunachukua msos bila foleni ilikuwa hivi kwa ufupi Kuna siku tulipo mdoji afande wa zamu night kali tukaenda kulala kweny maanga/mabweni ya maafande chini ya uvungu wa vitanda vya maafande wenyewe wakiwa juu mida ya saa 11 tunashtuka tunakuna majamaa na kombati za kijani yametuzunguka wamehamisha vitanda yanatusubili tuamke kinacho fuata nazani unajua.............