Ulishawahi kugombana na mtu halafu baadaye mkapatana na kuwa maswahiba wa karibu sana (best friends)? What happened?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,959
2,000
Mwaka 2010 niko mwaka wa kwanzaa chuoni, nliibiwa bum loooote
Jamaa mmoja akawa ananiliwaza liwaza ndo maisha ya chuo nivumiliee,
Kufatlia kumbe mwizi ni yeyeeee, daaaaaaah nilimbadilikia jamaa, maana benki walikua wanamtaka na chuo wanamtaka
Jamaa alimwaga chozi akilia huku akiomba msamaha na akiniahidi atanipa pesa zangu na fidia
Huruma ikantawala nikamwambia arudishe changu yaishee
Akafanikiwa kurudisha japo kwa awam
Ajabu sasaaaa toka hapo mpaka leoo jamaa ndo kawa rafiki yangu mkuu, yaaani best friend, kwetu wanamjua na kwao wananijua...
Daaaaah huyo jamaa wako ni muuaji sana aisee. Yaaani boom lote alitembea nalo pasipo kukuachia hata kidogo ya kununulia matembele
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,959
2,000
Kituko cha pili baada ya kwanza kazi
Siku moja nikaenda ofisi za maji kigoma kulipia bilii, nikakutana na dada mmoja mtumishi wa hiyo ofisi, ni mdada wa kisasaa mzuri, anajua kuvaa,
Dadaa akanivagaa kuniita mie muhuni, moto nlomuwashia hapo hapo ofisini kwaoo alitia huruma,
Ajabu watumishi wenzie hakuna hata alioingilia kumtetea, mwisho wa siku akaniomba yaishe, na yakaisha hapo badooo
Kumcharua nikamwomba namba ya simu akanipa bhanaaa
Huwezi amini akawa wangu kinomaaaa nikimtaka muda wowoteeee anakujaaaa
Mwanamke akimpenda mwanaume huwa anapenda kumfanyia vituko. That's how ladies are. Huyo dada alikuwa anakupenda sana na hio ndio alikuwa anatumia kama gear ya kukuingia
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,595
2,000
Mwaka 2010 niko mwaka wa kwanzaa chuoni, nliibiwa bum loooote
Jamaa mmoja akawa ananiliwaza liwaza ndio maisha ya chuo nivumiliee,
Kufatilia kumbe mwizi ni yeyeeee, daaaaaaah nilimbadilikia jamaa, maana benki walikua wanamtaka na chuo wanamtaka

Jamaa alimwaga chozi akilia huku akiomba msamaha na akiniahidi atanipa pesa zangu na fidia
Huruma ikanitawala nikamwambia arudishe changu yaishee
Akafanikiwa kurudisha japo kwa awamu

Ajabu sasaaaa toka hapo mpaka leoo jamaa ndio kawa rafiki yangu mkuu, yaani best friend, kwetu wanamjua na kwao wananijua...

Kituko cha pili baada ya kwanza kazi
Siku moja nikaenda ofisi za maji kigoma kulipia bilii, nikakutana na dada mmoja mtumishi wa hiyo ofisi, ni mdada wa kisasaa mzuri, anajua kuvaa,

Dadaa akanivagaa kuniita mie muhuni, moto nlomuwashia hapo hapo ofisini kwaoo alitia huruma,
Ajabu watumishi wenzie hakuna hata alioingilia kumtetea, mwisho wa siku akaniomba yaishe, na yakaisha hapo badooo
Kumcharua nikamwomba namba ya simu akanipa bhanaaa

Huwezi amini akawa wangu kinomaaaa nikimtaka muda wowoteeee anakujaaaa
Ungelimuoa kabisa hapo ndiyo ingesadifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
10,331
2,000
Kuna Khenge moja kipindi nilipoingia Form One yeye alikuwa Form Four.. Sasa Braza angu Wa Bweni akanituma Maziwa mtindi dukani.. (Raha ya kutumwa hivi ilikuwa ni lazima Bro atakugawia pasu kwa pasu)

Wakati narudi Ile Khenge ikaniwekea kizingiti, dogo kwa nini unapita hii njia, nikaiambia kwani si ni Barbara Braza kuna shida gani? Aisee Khenge akanipokonya Yale Maziwa akaondoka nayo. Nililia njia nzima mpaka nafika Bwenini Bro akabeba jukumu la kunifariji niachane naye..

Miaka 15 baadaye school mate akaniambia Khenge aliugua ghafla akafariki, kwa kweli nilifurahi. Pamoja na kwamba Jamaa alinikatili miaka kibao imepita. Mpaka Leo pamoja na kwamba alishakufa Ila Nina chuki naye Kali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,295

Hakuna kitu kibaya kama bullying, pole mzee kwa hilo tukio.
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,426
2,000
Kuna watu wana moyo mgumu sana.

Miezi sita Pesa yako ya matumizi jamaa anaibugia, pamoja na tamaa yake alitakiwa awe anakupa japo kiasi fulani kila mwezi.

Swali la kizushi:-

Ikiwa kulikuwa na mikataba, pamoja na makubaliano uliyotoka nayo DSM, sasa kwanini usingefanya mawasiliano na makao makuu iliyopo DSM kuwaambia hali halisi?
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,959
2,000
Kwani kama hapo nyuma aliwahi kukufanyia ubaya na mkawa maadui kwa sasa ukienda kumwona ndipo mtakuwa maswahiba wa karibu (best friends) kama ulivyotaja kwenye kichwa cha mada yako?
Hilo ndio lilikuwa lengo la huyo classmate wangu ya kwamba anibebe twende kuwa huyo Emanuel kisha tuyamalize kwa mazungumzo alafu tuanze urafiki upya. I said No.....!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom