Kimsingi hilo liko njiani, is just a matter of time. Ila mimi nadhani ID hasa siyo issue sana. Kitu cha msingi ni ukweli wa hoja zako. Namaanisha, hata kama itatokea iwe iwavyo, kama ulichoandika ni ukweli, sidhani kama utakuwa na tatizo sana. Najua kuna ukweli unawaumiza wengine, na huenda "hao wengine" nao wakapenda kukuumiza na wewe, lakini nadhani ni kheri mara kumi utakaposukwasukwa kwa sababu ya ukweli uliousema, kuliko utakaposhughulikiwa kwa sababu ya uzushi, majungu, uchonganishi na mambo mengine kama hayo.
Kwa hiyo, in the light of that, nadhani watu wahamasike kuandika ukweli tu. They will be fine!
Hapa tunatumia ID feki tunasahau kuwa teknolojia inakuwa kila siku. Wikileaks waliweza nasa mawasiliano ya siri ya wakubwa fulani fulani. Vipi inakuja tokea wote tunaotumia ID feki tunakuwa exposed, mara unakuta kumbe ID feki iliyokuwa kila kukicha inamwandama Lowasa ni Membe. Au ID feki iliyokuwa kila mara inamwandama Membe ni JK mwenyewe! Tuwe tunawaza mbali pia. Tunayoyaona tunaweza yaficha leo kizazi kijacho kinaweza kuja kuyafanya sio siri wala.Ushauri wangu, hebu tuache tumia ID feki.
Kimsingi hilo liko njiani, is just a matter of time. Ila mimi nadhani ID hasa siyo issue sana. Kitu cha msingi ni ukweli wa hoja zako. Namaanisha, hata kama itatokea iwe iwavyo, kama ulichoandika ni ukweli, sidhani kama utakuwa na tatizo sana. Najua kuna ukweli unawaumiza wengine, na huenda "hao wengine" nao wakapenda kukuumiza na wewe, lakini nadhani ni kheri mara kumi utakaposukwasukwa kwa sababu ya ukweli uliousema, kuliko utakaposhughulikiwa kwa sababu ya uzushi, majungu, uchonganishi na mambo mengine kama hayo.
Kwa hiyo, in the light of that, nadhani watu wahamasike kuandika ukweli tu. They will be fine!
Kila tukitumia id feki ndio uzuri, hii ni kwa sababu kuna mambo yanaongelewa humu halafu siku ya pili ndo unaenda kuyakuta yanajadiliwa bungeni, sasa kama tukitumia majina halisi nani ataweza kutoa siri za viongozi wetu
Bado nazipenda kucha na meno yangu mie...id fake ndio mpango
Mimi nitakua wa pili kuihama jf lakini pia jukwaa litapungua ubora wake....Siku wakiondoa matumizi ya ID feki nitakuwa wa kwanza kukimbia jf
Mimi nitakua wa pili kuihama jf lakini pia jukwaa litapungua ubora wake....