Ulipokuwa Chuo uliingizaje kipato?

Ulipokuwa Chuo uliingizaje kipato?

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
Habari wakubwa, natumai mu wazma wa afya.

Najua wengi mmesoma Vyuo mbalimbali katika kozi mbalimbali lakini naomba kuuliza swali moja:

Ulipokuwa Chuo ulijipatia kipato kwa njia gani na ilikuwa kiasi gani maybe per day, week or monthly?

Nawasilisha.
 
Bouja, Boom, field allowance, Research project allowance.

Nilimaliza nikiwa na akiba ya 1M, ila ilivepa/isha kabla mwaka husika haujaisha.
 
Sikuwahi kuingiza cent yoyote zaidi ya kutumia.
 
Lakini wapo waliofanikiwa Mkuu. Mimi nakumbuka brother angu alijichangaga na mwenzake wakafungua M- pesa basi mpaka wanamaliza miaka yao minne alikua anasoma Nursing yani alikua mbali sana. Ila vigezo na masharti tu kuzingatiwa.
 
ko hukuwai fany biz yyt
Niliwahi kumpa ndugu yangu hela akafanye bizz hela ilipotea kutokana na hasara.

Mimi stress za masomo zilinitawala, nilibaki kukomaa na stress tu
 
Wazazi wengine tulokuwa nao sisi wakikulipia hela ya karo ndo ishatoka hyo,,,, hawajali hela ya sabuni wapata wapi wala mafuta.. So tunaishia kubet tu tukipata bukubuku za sabuni, maisha yanaenda..
Ila haya maisha bora upambane kivyako dadadeq, hakuna mjomba wala shangazi atakusaidia maishani/Siku umekwama.. Hebu tupambane, najua tutatafutana maisha yakinyooka
 
Mi nilinunua printer nkawa na print kazi za wadau napiga mpunga...pili biashara za boxer,chupi za wadada...Tshirt kali,kutengeneza logo...Kuwaandikia watu assignment zote hzo nimefanya aiseee umenikumbusha mbali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilikua nauza empty CDs na flash aisee,
Nakumbuka Nili create wireless network kupitia Linux (Ubuntu) imeandikwa "Pata empty CD na flash block D room 110" ngoma mabibo hostel hiyo nilikua nikiwasha PC yangu kila MTU Mwenye laptop alikua na uwezo Wa kuiona wireless network
Ilinisaidia kuongeza kipato ingawa boom nilikua napata pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom