Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,103
- 2,199
Moshi nzima umeme hakuna, ni bora tuwape TPC tenda ya kuuza umeme sasa
8%Pale ambapo simu ina 24%😌😌😥
Chaguo letu milele... tuntuuu
Nawavimbe wapasuke tuntuuu.....![]()



Hakuna watu wanaolinga mda huu kama team infinix maana kwa kutunza chaji waku vizuri..


Hili nalo neno. UsikilizweLabda wanataka kubadili ajenda , sasa tunajadili issue ya umeme.
Maana haiwezekani zaidi ya nusu ya nchi iwe hamna umeme .
Holaa..Huoooo!!
Tafuta mikataba ya gesi ya Mtwara halafu uone kama dini iingilie serikali au tuiachie serikali ifanye inavyotaka.HIVI GAS YA NTWARAAA INAFANYA KAZI GANI????
😀 😀 😀 😀daah tena alikuwepo yule mzee aiseee sidhani kama kuna kitu tunapataaaTafuta mikataba ya gesi ya Mtwara halafu uone kama dini iingilie serikali au tuiachie serikali ifanye inavyotaka.