Mkuu mbona umefikia hatua hiyoWakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.
Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.
Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.
NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Bado mtoto mtogo sana wewe huwezi elewa mambo makubwa. Siku ukikuwa utaelewa kuwa ulimwengu haiko hivyo unavofikiri.Mawazo ya kijinga hayo, nguvu ya Mungu shetani hawezi izidi mimi sijawahi ogopa uchawi kwa sababu najua ni kitu kidogo sana mbele ya Mungu
NB.ukiwa na hirizi ni rahisi sana kulipuliwa kuliko asiye nayo
The choice is ur's
Dogo acha dharau basi, kwa mawazo yako ya kijinga mimi nakuzidi kwa kila kitu,huenda hata katika ukoo wako hakuna wa kusimama na mimiBado mtoto mtogo sana wewe huwezi elewa mambo makubwa. Siku ukikuwa utaelewa kuwa ulimwengu haiko hivyo unavofikiri.
Siwezi bishana na nyie mnaolala kwa shemeji zenu. Infact and im sure wewe ukifika 10% yangu tu (achana na ukoo) mimi nahama Tanzania. Mnaishia kuleta ulimbukeni kwa kuendesha starlet ya dada yako. Shenzi kabisaDogo acha dharau basi, kwa mawazo yako ya kijinga mimi nakuzidi kwa kila kitu,huenda hata katika ukoo wako hakuna wa kusimama na mimi
Njoo Madibira km 80 toka MAFINGA Iringa, km 85 toka Rujewa Mbarali Mbeya. Ukifika nistue nikupokee nikupeleke, wengi wamepita kwake na hakuna kafara wala kuchanjana machale.
Barafu la moto
Mbarali lakini nilipo ni karibu ukipita mafinga kama unatoka njia ya Iringa.Mkuu wewe uko wapi Mafinga au Mbarali
Ukifanikiwa leta mrejesho achana na hao wanaokuponda ilihali wao ndio watendaji wakuuNakucheck mkuu