Ulinzi na usalama nchini Tunzania

kamdinyo

Senior Member
Joined
Jun 22, 2026
Posts
154
Reaction score
404
Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana.
Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu.

Huu ni utafiti unaochangiwa na maoni yanayotolewa kwenye kurasa rasmi binafsi za wakuu wa vyombo ya ulinzi na usalama pamoja na kurasa rasmi za majeshi ya ulinzi na usalama nchini Tunzania. Tumefikaje hapa ? Kwanini vyombo vya ulinzi na usalama vimepoteza hadhi, imani na heshima kwa wananchi?
Hebu fikiria kauli ya mwananchi kwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
" we mzeee ole wenu ikitokea vita na nchi nyingine tutawasaliti hamtoamini, tutatoa taarifa zenu zote tunazozijua nakuziona, tutahakikisha tunawasaidia wapinzani wenu hadi muishe .
 
Vyombo vyote vya ulinzi kwa sasa vinalinda maslahi ya wanasiasa na watawala tu.
 
Na mimi niko tayari kusaliti😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…