GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.

Back
Top Bottom