Mwambie aje Manyara, mbona wamejaa hawatafutwi aende akawafungie hiyo kamba aendeshe gari. Mtu akiisha pata hutamani awe tofauti na mwenzake. Yaani ni kutuonesha kuwa hana hata ndg yake wapakie pamoja kwenye gari bali huyu mnyama?
Ndg zangu Waislam, hii ndiyo Injil??