Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

Kuna documentary moja niliona kama hawa vile kama sijasahau jinsi wanavyokula nyoka kama wanakula maembe, ni wakorofi nao kwenye mambo kama hayo, nyoka unamuonea huruma.
Nyoka anapigwa mbele na Nyuma,kadri nyoka anavyokasirika wahuni ndio mate yanawatoka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kuna pahala Singida wazungu walifuga hao wadudu aisee kulikuwa na Nyoka wale wakali wakali..mdogo mdogo wakapotea .. hawa wakawa wengi patashika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ