Utakuwa uliona kwenye Tamthilia ya second chance!!Kuna watu wanaamini ukifa unazaliwa mara nyingine tena..unaweza kuzaliwa mtu yuleyule na sura ileile au kiumbe kingine. Wanadai maisha uliyoishi ndo yana-determine next life utazaliwa katika mazingira gani. Hili nimelisikia siku nyingi ila sijawahi kulitilia maanani maana mimi kwa imani yangu mtu akifa ndo mwisho wake anasubiria hukumu ni either uzima wa milele au moto wa milele lakini naona kadri siku zinavyoenda natamani kujua zaidi kuhusu hili..hii imekaaje mshana jr
Fanya utakavyo wewe kufanya ila kwa njia sahihi na yakuaminika impendezayo muumba wakoMh kaka Mshana leo umeniacha gizai. Sasa nifanyeje ili niuishi mchoro wangu?
Sijawahi kuiona mkuu ila nimekuwa nikiangalia movies za kikorea naona wao ndo wanaamini hivyoUtakuwa uliona kwenye Tamthilia ya second chance!!
Ahsante Kamanda maana dah...............Fanya utakavyo wewe kufanya ila kwa njia sahihi na yakuaminika impendezayo muumba wako
Nielewavyo mimi, injini ya uhai ni Roho na injini ya matendo, hisia, kumbukumbu, tabia na kadhalika ni NAFSI, mwili ni sehemu ambayo Roho na NAFSI ndo makao yake, MOYO ni utashiRoho,mwili,moyo na nafsi.Hivi vitu vinatofautiana vipi mkuu?Je ni ipi hasa injini halisi ya mwanadamu katika maisha ya kila siku?
Kuna kitu kinaitwa Reincarnation ndio kinaelezea zaidi kuhusu kufa na kuzaliwa tena kwa mfano Mwl.Nyerere alipokufa wanasema atazaliwa Tausi ili aendelee kuishi IkuluSijawahi kuiona mkuu ila nimekuwa nikiangalia movies za kikorea naona wao ndo wanaamini hivyo
Yan ufe raisi uzaliwe tausi???Afu uishi tena ikulu???Ngoja ninywe chai kwanzaNI kweli hiyo ipo huwa inahitwa Reincarnation
Kuna kitu kinaitwa Reincarnation ndio kinaelezea zaidi kuhusu kufa na kuzaliwa tena kwa mfano Mwl.Nyerere alipokufa wanasema atazaliwa Tausi ili aendelee kuishi Ikulu
Umenena vema mkuu japo bado sijakupata hiviNielewavyo mimi, injini ya uhai ni Roho na injini ya matendo, hisia, kumbukumbu, tabia na kadhalika ni NAFSI, mwili ni sehemu ambayo Roho na NAFSI ndo makao yake, MOYO ni utashi
Nipo tayari kukosolewa, nimeeleza navyoelewa mimi
DuuuhNI kweli hiyo ipo huwa inahitwa Reincarnation
Kuna kitu kinaitwa Reincarnation ndio kinaelezea zaidi kuhusu kufa na kuzaliwa tena kwa mfano Mwl.Nyerere alipokufa wanasema atazaliwa Tausi ili aendelee kuishi Ikulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan ufe raisi uzaliwe tausi???Afu uishi tena ikulu???Ngoja ninywe chai kwanza
Pole, wapi hujanipata vizuri twende sawa...Umenena vema mkuu japo bado sijakupata hivi
YESU pekee anaweza vunja hiyo mikatabaMaisha yetu huwa yanasimamiwa na mikataba ya kiroho(maagano) ambayo either ilifanywa kati mababu, wazazi wetu au sisi wenyewe na miungu.
Viwango vya maisha vinafungwa kwenye mikataba hiyo na ndo maana level ya hali ya maisha inafanana sana kwenye familia au ukoo au hata kabila.
Mikataba hii inadumu hadi kizazi cha nne otherwise ujue jinsi ya kuifunja na kuingia mkataba mpya na Mungu Mwenye nguvu (Creator of universe)
Mkuu hebu vuta picha,kama raisi anazaliwa tausi na kwenda kuishi ikulu,je kina sie kalagabaho tutazaliwa nani maisha ya baadae???[emoji23] [emoji23] [emoji23]