Ulimwengu wa macho ni mwepesi sana

Poa mkuu, naisubiri hiyo mada.
 
Mada hii ni maandalizi ya mada ngumu ijayo ya intuitions of the eight senses in the state of spiritual world... Itakuwa ni mada nitakayoandika kwa kiingereza na kiswahili

Mkuu hiyo mada ngumu utaiendelezea kwenye ukurasa huu huu au utafungua ukurasa mwingine?
 
hata hyo IQ nna uhakika maana yake huijui! yaan una tabia ya kuongelea jambo kama unalijua vile lakini hujui kitu unaishia kuongelea juujuu tu kiujanjaujanja!
 
Mshana samahani kama nitakuudhi hivi wewe ni mganga,mchawi au mchungaji,hii elimu wewe una experience nayo kivipi?
 
Haya mambo ni mazito...majuzi papa francis alisema hakuna moto jehanam...huenda kuna mambo magumu alihisi hatutaelewa
 
Haya mambo ni mazito...majuzi papa francis alisema hakuna moto jehanam...huenda kuna mambo magumu alihisi hatutaelewa
Alikuwa sahihi kwa mujibu wa moto tunaoutafsiri sisi... Tukisikia jehanum na moto huwa tunajenga picha tofauti kabisa na uhalisia
 
KAKA KHERI YA PASAKA.
AKUELEWAGA SANA NIKISOMA MADA ZAKO, ILA LEO UMENIPA CHEO CHA MKUU WA MKOA PENDWA.
USISAHAU KUNITAG KWENYE NADA TARAJIWA, PIA UKUMBUKE PESA ZETU TSHS 26,042,018 PEKEE.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Nimekupata vizuri sana hapo kwenye pesa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…