wakuu habari,kuna shemeji yenu yupo Mkuranga,Pwani ananipigia kelele kila siku nimuunganishie Dish. Sasa nimepata Azam Dish,lakini nataka pia nimfungie LNB nyingine ili aweze kupata FTA chanells nyingi zaidi,lakini kwa kutumia ungo huo huo wa Azam na decoder yao,je inawezekana?