Ukubwa wa dish unategemea na nguvu inayotumika kurusha hiyo channel.Kwa mfano ITV inapatikana kwa ungo wa ft6 lakini UBC ambayo iko pale ilipo ITV kuipata lazima utumie ungo wa ft8 wakati mwingine mpaka ft10 wakipunguza nguvu.Kwa hiyo footprint pekee haiwezi kukupa ukubwa wa dish la kutumia.
Wachina wameturahisishia mambo ila upande mwingine ni tabu tupu!!nina recever ya Wiztech 8010 hd classic yani ni bonge la mtama ili nimeligundua pale nilipo jaribu kuinstalk famware nimadudu matupu!
Wachina wameturahisishia mambo ila upande mwingine ni tabu tupu!!nina recever ya Wiztech 8010 hd classic yani ni bonge la mtama ili nimeligundua pale nilipo jaribu kuinstalk famware nimadudu matupu!